I am too Rich to get married

I am too Rich to get married

Noti to zat ekstenti
Whoever says money cannot change him has never got enough of it....Aliko Dangote. So hata wewe ukipata pesa itakubadilisha tu na watu wa nje watakuona limbukeni
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Matajiri wengi duniani, upstairs wapo average
 
Unajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
tumegee kuhusu huyo mtu alivopata bilioni na ikawaje
 
mnadiscuss something which has sense why mnaumiza kichwa na mtoa mada sio muhusika wa jambo first ni rafiki tu.
Nasio ndugu.
secondly aoe why maisha ya mtu ni ya mtu .
mwacheni atakavyotaka yeye.
kuoa si lazima kwake so haitusaidii.
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Ni misemo ya masikini hiyo kusawazisha.
 
mnadiscuss something which has sense why mnaumiza kichwa na mtoa mada sio muhusika wa jambo first ni rafiki tu.
Nasio ndugu.
secondly aoe why maisha ya mtu ni ya mtu .
mwacheni atakavyotaka yeye.
kuoa si lazima kwake so haitusaidii.
Kwa nini umekuja kucommemt humu?
 
na wanawake wa these day......kazi anayo....ila anaweza oa tu...mali zake zote kabla ya kuoa aziorodheshe tena kisheria, huyo mkewe hana chochote ktk hizo....waanzie pale watakapoanza..........hawa akikuzalia mtoto tuuu...anakuchinjilia mbali.....
 
Ni uamuzi wake maana kuoa wakati mwingine ni kujiletea stress tu.
 
Ila kama yuko kwenye 30's bado anajiona sababu ana nguvu ya kutumia hela kupata wanawake. Atafika umri atachoka starehe zote atatamani apate mwanamke wa kuzeeka nae atakosa. Ni utoto akikua ataacha

Ha ha ha, ukiwa na pesa huwezi kukosa mwanamke wa kuzeeka naye... Labda siwafahamu wanawake mimi.....

Ndukiiiiiii
 
Mpuuzi huyo hajielewi msiiieeew ulimbukeni tu.....kaoa bill gate sembuse yeye
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
si kweli.
 
Amesema kiwango fulan ukiwa nacho,je ni bei gan maana hela huwa haijai
 
Ha ha ha hela mbona weng mtaan wanazo na wanawake zao saf kbsa
Walizipata ndo wakatafuta wake au walizipata wakiwa na hao wake? Those are two different things
 
Back
Top Bottom