I am too Rich to get married

I am too Rich to get married

Ha ha ha, ukiwa na pesa huwezi kukosa mwanamke wa kuzeeka naye... Labda siwafahamu wanawake mimi.....

Ndukiiiiiii

Ni kweli, mfano mzuri ni millionaire reginald na jac. Ila sasa kama umefanikiwa mapema kwa nini usubili kuoa uzeeni?
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Wanaoshinda tatu mzuka je??
 
Sio maneno yangu ni maneno ya broo mmoja wa kitaani kwetu..He is in his late 30s.Alimalizaga pale Udsm miaka ya 2008 ..mwaka ulio fuata akaenda zake Moz kutafuta utajiri kupitia madini ya Ruby.Mungu kamletea heri sasa hivi jamaa ni bilionea ( In terms of Tshs) .

Kwa ufupi jamaa ana " mzigo" wa kutosha ..
He got three children from 2 different women ..

Jana usiku tulikuwa na wadau kadhaa tunabadilishana NAE mawazo ..akatuambia jinsi Wazazi wake wanavyo msumbua aoe.

Jamaa anasema hawezi kuoa kwa sasa kwa sababu yeye ni tajiri sana..
" Wadogo zangu kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho kuoa ni risk sana ..Sasa hivi Mimi sihitaji kuoa ..Ndoa ni swala linalo fanywa na watu masikini...Ningeweza kumuoa mwanamke ambae ningekuwa nimeanza kuhustle NAE hadi kufikia mafanikio niliyo nayo ..

But kwa mafanikio niliyo nayo sihitaji mwanamke wa kuoa ..

Tukampa mfano wa Mengi mbona yeye tajiri sana lakini kamuoa Ntuyabaliwe..

Jibu lake "Mengi ni mzee MTu mzima..He has nothing to loose..Mimi bado kijana bana hata miaka arobaini bado sijafikisha.."

Kwa ufupi anasema ukiwa tajiri mwanamke atakuja kwako kwa ajili ya Mali zako na uwezekano wa kukuua ili amiliki Mali zako ni asilimia mia..

Guys do u agree with him ?
Amejiunga kwenye kle chama cha wajenzi huru sasa wamempa shart la kutooa. Huu utajr tunaupenda lakini unatugharim.
 
Hizo ni kauli za kichochezi na huo ni uchochezi wa kijinsia. Mali tunazokusanya hapa duniani mwisho wake ni kaburini, huyo tajiri uchwara akifa hawezi kuzikwa na mali zake ataenda kaburini kama alivyozaliwa. Kwangu mimi naona amekua mchoyo wa kutumia mali zake na mwanamke. Akiuzoea huo utajiri atabadilika.
Mkuu lakini hata ndoa na relationship tunazitafutia hapa hapa duniani na hatuendi nazo kaburini tunaziacha hapa hapa...kama huo utajiri tuu
 
100%. BTW 30 bado sana, kama watoto anao tayari, so no pressure
Sio maneno yangu ni maneno ya broo mmoja wa kitaani kwetu..He is in his late 30s.Alimalizaga pale Udsm miaka ya 2008 ..mwaka ulio fuata akaenda zake Moz kutafuta utajiri kupitia madini ya Ruby.Mungu kamletea heri sasa hivi jamaa ni bilionea ( In terms of Tshs) .

Kwa ufupi jamaa ana " mzigo" wa kutosha ..
He got three children from 2 different women ..

Jana usiku tulikuwa na wadau kadhaa tunabadilishana NAE mawazo ..akatuambia jinsi Wazazi wake wanavyo msumbua aoe.

Jamaa anasema hawezi kuoa kwa sasa kwa sababu yeye ni tajiri sana..
" Wadogo zangu kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho kuoa ni risk sana ..Sasa hivi Mimi sihitaji kuoa ..Ndoa ni swala linalo fanywa na watu masikini...Ningeweza kumuoa mwanamke ambae ningekuwa nimeanza kuhustle NAE hadi kufikia mafanikio niliyo nayo ..

But kwa mafanikio niliyo nayo sihitaji mwanamke wa kuoa ..

Tukampa mfano wa Mengi mbona yeye tajiri sana lakini kamuoa Ntuyabaliwe..

Jibu lake "Mengi ni mzee MTu mzima..He has nothing to loose..Mimi bado kijana bana hata miaka arobaini bado sijafikisha.."

Kwa ufupi anasema ukiwa tajiri mwanamke atakuja kwako kwa ajili ya Mali zako na uwezekano wa kukuua ili amiliki Mali zako ni asilimia mia..

Guys do u agree with him ?
 
Unajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
Bil 2, pesa kabisa!!? Halafu leo anaomba hata nauli!!! Haiwezekani, mi nipate tu 100m na umaskini siurudii tena.
 
Back
Top Bottom