Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
kaoa Dr.Shika na ni trillionea.
mwambie aache utoto
mwambie aache utoto
Na anachotakiwa kujua matajiri wengi duniani wanaupata utajiti kutokana na vipaji vyao!Floyd Mayweather ana akili kuliko Barack Obama??
haaa haaaa Jibu zuri kiana , ila BADO kijana mdogo kusema'' the Game is Over ''Atambariki kwa lipi wakati keshajibariki kwa jitihada zake
Mbona unatolea mfano wa watu wasio kuhusu..mi nimesema ukiona MTU anapesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..Jitafakari wewe na maisha yako .na uchukulie kama challenge katika maisha yako.Dont bring Obama and May weather here..We are not talking about themFloyd Mayweather ana akili kuliko Barack Obama??
yupo sahihi kwa upande wake na fikra zake.Sio maneno yangu ni maneno ya broo mmoja wa kitaani kwetu..He is in his late 30s.Alimalizaga pale Udsm miaka ya 2008 ..mwaka ulio fuata akaenda zake Moz kutafuta utajiri kupitia madini ya Ruby.Mungu kamletea heri sasa hivi jamaa ni bilionea ( In terms of Tshs) .
Kwa ufupi jamaa ana " mzigo" wa kutosha ..
He got three children from 2 different women ..
Jana usiku tulikuwa na wadau kadhaa tunabadilishana NAE mawazo ..akatuambia jinsi Wazazi wake wanavyo msumbua aoe.
Jamaa anasema hawezi kuoa kwa sasa kwa sababu yeye ni tajiri sana..
" Wadogo zangu kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho kuoa ni risk sana ..Sasa hivi Mimi sihitaji kuoa ..Ndoa ni swala linalo fanywa na watu masikini...Ningeweza kumuoa mwanamke ambae ningekuwa nimeanza kuhustle NAE hadi kufikia mafanikio niliyo nayo ..
But kwa mafanikio niliyo nayo sihitaji mwanamke wa kuoa ..
Tukampa mfano wa Mengi mbona yeye tajiri sana lakini kamuoa Ntuyabaliwe..
Jibu lake "Mengi ni mzee MTu mzima..He has nothing to loose..Mimi bado kijana bana hata miaka arobaini bado sijafikisha.."
Kwa ufupi anasema ukiwa tajiri mwanamke atakuja kwako kwa ajili ya Mali zako na uwezekano wa kukuua ili amiliki Mali zako ni asilimia mia..
Guys do u agree with him ?
Ha ha naona umekubali ulichokisema hakina mantiki. Siishi kwenye box naishi maisha yako wazi naangalia zaidi ya upeo wa macho yangu kwahio siwezi kuacha kuangalia watu kama Floyd,Obama,Carson etc.Mbona unatolea mfano wa watu wasio kuhusu..mi nimesema ukiona MTU anapesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..Jitafakari wewe na maisha yako .na uchukulie kama challenge katika maisha yako.Dont bring Obama and May weather here..We are not talking about them
Anasema mawazo yenye hekima na busara kama haya hutoka kwa watu masikini wasio na kitu.Lakini kwa yeye tajiri hawezi kuwa na mawazo kama yako..Anasema mawazo ya tajiri hayawezi kukaa kwenye kichwa cha masikini and vice versa.. Akatuambia hata " mkipataga pesa huwa mnaspend like u don't mean nothing ila zikiisha ndo akili zinakuja..I think he is rightHizo ni kauli za kichochezi na huo ni uchochezi wa kijinsia. Sikubaliani na huyo tajiri uchwara kwa namna yoyote ile. Utajiri au umaskini siyo excuse ya kutooa, wapo matajiri ambao wameingia kwenye listi ya matajiri kumi bora duniani ya FORBES na wote wameona. Huyo mvulana wa mkoani atakua ana matatizo ya kijinsia na anaogopa siri zake zisije zikawekwa hadharani. Kuoa ni ibada, kuoa ni kutengeneza mazingira ambayo watoto watalelewa vizuri kwa uangalizi wa watu wawili na hilo ndilo kusudio la Mungu kwa kuanzisha familia. Mali tunazokusanya hapa duniani mwisho wake ni kaburini, huyo tajiri uchwara akifa hawezi kuzikwa na mali zake ataenda kaburini kama alivyozaliwa. Kwangu mimi naona amekua mchoyo wa kutumia mali zake na mwanamke. Akiuzoea huo utajiri atabadilika.
Jiangalie wewe na watu wanao kuzunguka..Hatuwezi kuwazungumzia Obama na May weather kwa sababu hatujui wala hatuna uhakika Nani ana pesa nyingi kumshinda mwenzakeHa ha naona umekubali ulichokisema hakina mantiki. Siishi kwenye box naishi maisha yako wazi naangalia zaidi ya upeo wa macho yangu kwahio siwezi kuacha kuangalia watu kama Floyd,Obama,Carson etc.
Mungu akusamehe kwa majaribu uliyowapa wanawake wapenda pesa. Si ungeweka namba yake bro
Mkuu unamaanisha hata huyo jamaa waliomzunguka ni wanafiki?Huo ni ukweli kabisa...ambao wengi watakataaa!!!....
Mtu mwenye tajiri anazungukwa na wanafiki wengi sana
Kwanza nikuweke wazi huyo siyo tajiri ni mtu aliyepata nafuu tu kwenye maisha. Huyo ni mtu ambaye hana misingi ya utajiri na matajiri hawaongei na kufikiria kwa namna hiyo.Anasema mawazo yenye hekima na busara kama haya hutoka kwa watu masikini wasio na kitu.Lakini kwa yeye tajiri hawezi kuwa na mawazo kama yako..Anasema mawazo ya tajiri hayawezi kukaa kwenye kichwa cha masikini and vice versa.. Akatuambia hata " mkipataga pesa huwa mnaspend like u don't mean nothing ila zikiisha ndo akili zinakuja..I think he is right