RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,825
- 129,724
OMG. Uwe na siku njema.U live in denial
OMG. Uwe na siku njema.U live in denial
Hakuna haja ya kuoa unapokuwa unamiliki mkwanja wa kutosha, ya nini kujisogezea stress ambazo kimsingi unaweza ziepuka? Naungana na huyo bilionea asiyejulikana.
Hana.Kwani Obama ana akili?
Watoto aliwapata akiwa sekondari na chuo wakati hana chochote na hajui chochote kuhusu maisha..Huyo jamaa anaona risk kuoa lkn riskless kuzaa nje tena na wanawake tofauti duuh, huo ni utajiri usio na hekima,sometimes ukioa/kuolewa kuna baraka zake siyo mara zote tufikirie tu in a negative way kwamba mambo mabaya yatatokea noo, kwani hamna matajiri wenye ndoa zao jamani na wanaenjoy maisha. Tena naona akioa itamsaidia kumuepusha na vitu vibaya ambavyo angeweza kuvifanya kama asingekua na ndoa mf michepuko mingi.Mwambie apunguze ulimbukeni matajiri hawako hivo au ni masharti ya mganga asioe.
Huo ndio ukweli mkuu. Hutaki kukubaliana na ukweli. Mtu anae kuzidi pesa jua amekuzidi akili huyo. More especially mtu aliye pata pesa kwa kuhustle mwenyewe. Achana na hao celebrities na wanamichezo ulio watolea mifano hapa kama Mayweather ambe utajiri wake hajaupata kwa kuumiza kichwa.OMG. Uwe na siku njema.
Well said bro!He is not completely wrong, rich people are more vulnerable to gold-diggers but that does not mean that they have to abstain from enjoying the beauty of marriage. There are so many billionaires who are enjoying family/marriage lives with their God given well chosen beautiful wives. On the other side of the story, there are also so many of us poor people who have messed up with choices of partners and so therefore marriage/family is in an unspeakable difficult. In short, relationship has no formula it can be good or bad regardless of financial or any other status.
Dhambi haitamwacha salama cha msinginmwambie agawe hizo mali kwa wazazi wake kisha na kuweka fungu kwa watoto wake halafu yeye aish maisha ya kiswahilini kisha aoeSio maneno yangu ni maneno ya broo mmoja wa kitaani kwetu..He is in his late 30s.Alimalizaga pale Udsm miaka ya 2008 ..mwaka ulio fuata akaenda zake Moz kutafuta utajiri kupitia madini ya Ruby.Mungu kamletea heri sasa hivi jamaa ni bilionea ( In terms of Tshs) .
Kwa ufupi jamaa ana " mzigo" wa kutosha ..
He got three children from 2 different women ..
Jana usiku tulikuwa na wadau kadhaa tunabadilishana NAE mawazo ..akatuambia jinsi Wazazi wake wanavyo msumbua aoe.
Jamaa anasema hawezi kuoa kwa sasa kwa sababu yeye ni tajiri sana..
" Wadogo zangu kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho kuoa ni risk sana ..Sasa hivi Mimi sihitaji kuoa ..Ndoa ni swala linalo fanywa na watu masikini...Ningeweza kumuoa mwanamke ambae ningekuwa nimeanza kuhustle NAE hadi kufikia mafanikio niliyo nayo ..
But kwa mafanikio niliyo nayo sihitaji mwanamke wa kuoa ..
Tukampa mfano wa Mengi mbona yeye tajiri sana lakini kamuoa Ntuyabaliwe..
Jibu lake "Mengi ni mzee MTu mzima..He has nothing to loose..Mimi bado kijana bana hata miaka arobaini bado sijafikisha.."
Kwa ufupi anasema ukiwa tajiri mwanamke atakuja kwako kwa ajili ya Mali zako na uwezekano wa kukuua ili amiliki Mali zako ni asilimia mia..
Guys do u agree with him ?
Njoo inbobo
Ukiwa na pesa huwezi kuwa na mawazo mazuri kama yako. Dont u forget about thatIla kama yuko kwenye 30's bado anajiona sababu ana nguvu ya kutumia hela kupata wanawake. Atafika umri atachoka starehe zote atatamani apate mwanamke wa kuzeeka nae atakosa. Ni utoto akikua ataacha
Sio kweli hata kidogo ...Mungu ndio mpajiHakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Dada unashawishi vizuri mpaka nataka kukuamini vile..anyway u got a boyfriend? Am single baby ..u know ! Am humbled u know!Sio kweli hata kidogo ...Mungu ndio mpaji
Ni Mungu tuu
Usijivune hata siku 1
Ndo mana Mfalme Suleiman aliomba 'hekima' kwa Mungu na sio Utajiri,Mungu akampa vyote
Pesa bila hekima ndo huyo rafiki yako...wanawake si sawa ..yeye ndo ameshindwa kuchagua
Ukiwa na pesa huwezi kuwa na mawazo mazuri kama yako. Dont u forget about that
Hahahah weweeeeDada unashawishi vizuri mpaka nataka kukuamini vile..anyway u got a boyfriend? Am single baby ..u know ! Am humbled u know!
Whoever says money cannot change him has never got enough of it....Aliko Dangote. So hata wewe ukipata pesa itakubadilisha tu na watu wa nje watakuona limbukeniSio kuwa na pesa sema kuwa limbukeni wa peaa. Huyo bila shaka katoka familia choka mbaya sasa kupata pesa kumemfanya limbukeni ndo maana anaona pesa zake ni kila kitu