Whoever says money cannot change him has never got enough of it....Aliko Dangote. So hata wewe ukipata pesa itakubadilisha tu na watu wa nje watakuona limbukeni
Matajiri wengi duniani, upstairs wapo averageHakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
tumegee kuhusu huyo mtu alivopata bilioni na ikawajeUnajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
Ni misemo ya masikini hiyo kusawazisha.Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Kwa nini umekuja kucommemt humu?mnadiscuss something which has sense why mnaumiza kichwa na mtoa mada sio muhusika wa jambo first ni rafiki tu.
Nasio ndugu.
secondly aoe why maisha ya mtu ni ya mtu .
mwacheni atakavyotaka yeye.
kuoa si lazima kwake so haitusaidii.
Birds of the Same flowers .......Birds of the same flowers flock together..Huwa nna hang out na marafiki tunaofanana
huyo mwanamke anaefaa ana alama gani!!may be but me nadhan angetuliza akili na atazame wap anaweza mpata mwanamke sahihi na ni mazingira yap wanapatikana wanawake sahihi
Ila kama yuko kwenye 30's bado anajiona sababu ana nguvu ya kutumia hela kupata wanawake. Atafika umri atachoka starehe zote atatamani apate mwanamke wa kuzeeka nae atakosa. Ni utoto akikua ataacha
si kweli.Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Ha ha ha hela mbona weng mtaan wanazo na wanawake zao saf kbsa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuanzia bilioni moja cash