Akiweka namba za simu masikini watamsumbua
Madam Mwajuma , Na yeye inaonesha hataki kufungamana na jamii ya watu masikini kama sisi.
Ahahhhahahahaaaa
Mimi nadhani hiyo sio sababu ya yeye kutokuoa, hiyo imekuwa kama sehemu ya kuficha mapungufu yake, hasa ukizingatia tumeambiwa watoto alionao aliwapata zamani kabla ya kuwa tajiri. Usikute ni utajiri wa masharti, labda haruhusiwi kuwa na familia nk.
Mtoa mada kwa niaba ya tajiri asiyejulikana
LIKUD hujatuambia kuhusu watoto wa tajiri walipo kwa maana wanaishi wapi na wanalelewa na nani.