I am too Rich to get married

Huyo jamaa anaona risk kuoa lkn riskless kuzaa nje tena na wanawake tofauti duuh, huo ni utajiri usio na hekima,sometimes ukioa/kuolewa kuna baraka zake siyo mara zote tufikirie tu in a negative way kwamba mambo mabaya yatatokea noo, kwani hamna matajiri wenye ndoa zao jamani na wanaenjoy maisha. Tena naona akioa itamsaidia kumuepusha na vitu vibaya ambavyo angeweza kuvifanya kama asingekua na ndoa mf michepuko mingi.Mwambie apunguze ulimbukeni matajiri hawako hivo au ni masharti ya mganga asioe.
 
Hakuna haja ya kuoa unapokuwa unamiliki mkwanja wa kutosha, ya nini kujisogezea stress ambazo kimsingi unaweza ziepuka? Naungana na huyo bilionea asiyejulikana.

Kimsingi jamaa anazo stress nyingi tayari ndiyo maana anajiongelea. Pamoja na pesa zake inaonekana hili la kutokuwa na mke ndiyo linamfikirisha sana kwa sasa. Hivo bora aoe maana kama stori zake ni hizo anazopiga atakuwa na stress za kutosha huyo bwana, kwa maoni yangu anasumbuka hajapata chaguo lake na hicho ndio kinachowasumbua wengi wenye pesa zao, kupata mtu sahihi huwa ni kazi kwelikweli! Wanapataga wale mabinti ambao siyo wife-material wa kutoka nao kwenye starehe na kuwalala kwa mda basi, mwisho wa siku wanakuwa na hayo hayo mawazo finyu ya kujifariji.
 
Wewe mtoa mda umekuja kuuliza kama huyo rafiki ako yuko sahihi ...
Sasa mbona unakataa mawazo ya wachangiaji?
 
Watoto aliwapata akiwa sekondari na chuo wakati hana chochote na hajui chochote kuhusu maisha..
 
OMG. Uwe na siku njema.
Huo ndio ukweli mkuu. Hutaki kukubaliana na ukweli. Mtu anae kuzidi pesa jua amekuzidi akili huyo. More especially mtu aliye pata pesa kwa kuhustle mwenyewe. Achana na hao celebrities na wanamichezo ulio watolea mifano hapa kama Mayweather ambe utajiri wake hajaupata kwa kuumiza kichwa.
 
Well said bro!
 
Dhambi haitamwacha salama cha msinginmwambie agawe hizo mali kwa wazazi wake kisha na kuweka fungu kwa watoto wake halafu yeye aish maisha ya kiswahilini kisha aoe
 
Ila kama yuko kwenye 30's bado anajiona sababu ana nguvu ya kutumia hela kupata wanawake. Atafika umri atachoka starehe zote atatamani apate mwanamke wa kuzeeka nae atakosa. Ni utoto akikua ataacha
Ukiwa na pesa huwezi kuwa na mawazo mazuri kama yako. Dont u forget about that
 
Mwambie 'hakuna marefu yasokua na ncha'...
Kama anadhani umalaya ndo maisha akikua ataacha
Kafanikiwa kipesa ila sio kifamilia over
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Sio kweli hata kidogo ...Mungu ndio mpaji
Ni Mungu tuu
Usijivune hata siku 1
Ndo mana Mfalme Suleiman aliomba 'hekima' kwa Mungu na sio Utajiri,Mungu akampa vyote

Pesa bila hekima ndo huyo rafiki yako...wanawake si sawa ..yeye ndo ameshindwa kuchagua
 
Dada unashawishi vizuri mpaka nataka kukuamini vile..anyway u got a boyfriend? Am single baby ..u know ! Am humbled u know!
 
Sio kuwa na pesa sema kuwa limbukeni wa peaa. Huyo bila shaka katoka familia choka mbaya sasa kupata pesa kumemfanya limbukeni ndo maana anaona pesa zake ni kila kitu
Ukiwa na pesa huwezi kuwa na mawazo mazuri kama yako. Dont u forget about that
 
Dada unashawishi vizuri mpaka nataka kukuamini vile..anyway u got a boyfriend? Am single baby ..u know ! Am humbled u know!
Hahahah weweeee
Ndo ukweli usione una vitu ukadhani wenzako wajinga
Maisha haya js keep an open mind
 
Sio kuwa na pesa sema kuwa limbukeni wa peaa. Huyo bila shaka katoka familia choka mbaya sasa kupata pesa kumemfanya limbukeni ndo maana anaona pesa zake ni kila kitu
Whoever says money cannot change him has never got enough of it....Aliko Dangote. So hata wewe ukipata pesa itakubadilisha tu na watu wa nje watakuona limbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…