I am too Rich to get married

Kwanza nikuweke wazi huyo siyo tajiri ni mtu aliyepata nafuu tu kwenye maisha. Huyo ni mtu ambaye hana misingi ya utajiri na matajiri hawaongei na kufikiria kwa namna hiyo.
Utajiri ni kuwa na pesa na Mali bro..Hiyo misingi and what ni mbwembwe tu ..
 
Mwambie jamaa aache uchoyo

Hivi shoka ni shoka ameoa yule?
 
Watoto wanaishi na mama ake ..
 
Kwanza nikuweke wazi huyo siyo tajiri ni mtu aliyepata nafuu tu kwenye maisha. Huyo ni mtu ambaye hana misingi ya utajiri na matajiri hawaongei na kufikiria kwa namna hiyo.

Nimeipenda sana hiyo comment yako.
 
Nimeipenda sana hiyo comment yako.
Utajiri ni kuwa na mkwanja na property hayo maneno sijui misingi ya utajiri na ninj ni mbwembwe tu
 
Sawa kabisa
Mimi sina pesa lkn sina mpango wa kuoa maisha.

Nazaa vijana wangu wawili au mmoja habari kwishaa.
Naendelea kutusua papuchi mpk nifeeeer
 
Watoto wanaishi na mama ake ..

Ahsante, kwa mtizamo wangu huyo tajiri asiyejulikana kuna kitu hatokaa awaambie kimefikicha.

Ila niliona sehemu ukiandika kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja ukisisitiza huwa mko pamoja, nini msimamo wako juu ya swala hilo, nawe hujao na huna mpango wa kuoa kwa vile nawe ni tajiri pia ama?

Kuna msemo wa kizungu, ila nautoa kwa kiswahili kwa tafsri isiyo rasmi unasema "Nioneshe rafiki yako/zako nami nitakueleza wewe ni mtu wa namna gani"
 
Unanunua ngombe wa nini wakati ukitaka nyama utazipata buchani?
 
He is not completely wrong, rich people are more vulnerable to gold-diggers but that does not mean that they have to abstain from enjoying the beauty of marriage. There are so many billionaires who are enjoying family/marriage lives with their God given well chosen beautiful wives. On the other side of the story, there are also so many of us poor people who have messed up with choices of partners and so therefore marriage/family is in an unspeakable difficult. In short, relationship has no formula it can be good or bad regardless of financial or any other status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…