I am sorry mabinti wa kichagga

I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Kiss flan uko sahihi wachaga wanashindia sana hasa kimahusiano, lakini mtu kama mm utaniambia kabila gani zuri?
Je! Wahaya? Wasukuma! Wazaramo labda! Au ni wagogo, wanyaturu, wapate au wanyiramba labda! Au wanyakyusa, wabena. Wahehe, wamakua au waha?
Kila kabila lina uzuri wake na upande wapili yanaudhaifu woteee
Msukuma mjita ana matatizo gani au mmasai.
 
Kanda ya uko wanawake wa kuooa ni wa kimasai ndo wana afadhal lakin makabila yote ya kanda hiyo ni balaaaaaaaaaaaaa..........
 
Mjita hana tofauti na mkurya...msukuma na mmsai wanafiki tu. Mmasai akikusalimia utaskia iiiikoooo kwa upole huku akikung'0ng'a
 
Kwa nini uombe uzoefu wakati umeshajua hawakufai. Hii thread yako ni ya kudhalilisha tu mabinti wa kichaga na haina uhusiano na unachotafuta. Kama unajua mto huu una mamba unataka kumwuuliza nani mwenye uzoefu wa kuliwa na mamba? Shamefull.
 
Kwa mtu yeyote ambaye ambaye ana ABC ya takwimu (statistics) hawezi kufikia uamuzi wa kusema hiki kitu kiko hivi mpaka SAMPLE SIZE yake angalau iwe ni thelathini. Kwa maelezo hayo watu wawili hawawezi kwa namna yeyote kuwakilisha kabila zima. Plz elewa tu kuwa mabinti wetu wa KIBONGO FLEVA wote hawawezi kula ugali au chakula kigumu; wao hula chips mayai/kuku kwa soda. Don't expect any good from ladies of that kind.
Kwan mkuu ww kabila gani?
 
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Duuuuh!! Ulipiga kavukavu, mlipima UKIMWI??

Je baadae alirudi kwa mumewe?? Huyo mtoto ikawaje sasa??
 
Hata bure siwezi kuwa na demu Wa kichagaaaaaaaa siwapendi hawajui mapenziiiii
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
una uhakika ni wachaga? sisi wamama ndo yunajuaga kabila za watoto zetu kwahiyo kaa kimya

kisha kama wachaga wamekushinda katafute mzaram mwenzio na kwakweli mchaga na mzaramo hawaendani tafakari na uchukue hatua fasta
 
Hata bure siwezi kuwa na demu Wa kichagaaaaaaaa siwapendi hawajui mapenziiiii
Ahhhh!!!! hata sungura alisema sizitaki mbishi hizi baada ya kuruka ruka bila kupata.Wachaga dili hapa mjini utaondoka na ushamba wako .Walio oa wanafurahia ile mbaya kwani hadithi hizi zote wangepata wapi kama si wadada wa kichaga.Tuko juu kwani watu wanawaweka wote kundi moja.Kwani wanaume wote wanaoteseka kwenye ndoa au walioachana asilimia ngapi wameoa wachaga!Najiuliza hivi mfano Wema angekuwa na element kidogo tu za uchaga tungekoma humu ndani.
 
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?
Acha kukariri sijaona neno utafiti kwenye hiyo post, anajaribu kuuliza je wengine waliowao au wenye wachumba wa kichaga wanaonaje? mimi nionavyo ndio kwanzaa anajaribu kufanya utafiti
 
Karne ya sasa hivi mnaongelea makabilaaaaaaaa
Jamiiforums ni ya kitambo kuna taratibu zake kujiunga leo usituchafulie hali ya hewa. Acha kutukana jibu hoja kwa hoja sio kutukana. Ukifungiwa Usilalamike Heshima ni hulka yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom