I am sorry mabinti wa kichagga

I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Wengi wamefanikiwa sana ki maisha....Angalia hata viongozi wengi wa 'nji' hii wake zao hutoka wapi.......
 
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu
wenyewe kwa wenuewe hamnaga shida sijui kwa nn!
 
Kati ya wachaga wa marangu...wakibosho n.k wapi wanaafadhali mana mpenzi wangu ni wa marangu...sasa nisije baadae nikasema sikujua
 
niliwahi kuambiwa mara nyingi na baba, babu na mama kuwa kamwe nisije kuoa
1.mchaga
2.mhaya
3.mzaramo
4.mgogo
5.mmakonde
 
niliwahi kuambiwa mara nyingi na baba, babu na mama kuwa kamwe nisije kuoa
1.mchaga
2.mhaya
3.mzaramo
4.mgogo
5.mmakonde
Alikupa/uliuliza sababu? Au uliambiwa umeze tu kama malofa wa Chadema wanavyokaririshwa kuzungusha mikono?
 
Ahhhh!!!! hata sungura alisema sizitaki mbishi hizi baada ya kuruka ruka bila kupata.Wachaga dili hapa mjini utaondoka na ushamba wako .Walio oa wanafurahia ile mbaya kwani hadithi hizi zote wangepata wapi kama si wadada wa kichaga.Tuko juu kwani watu wanawaweka wote kundi moja.Kwani wanaume wote wanaoteseka kwenye ndoa au walioachana asilimia ngapi wameoa wachaga!Najiuliza hivi mfano Wema angekuwa na element kidogo tu za uchaga tungekoma humu ndani.
Wanatuponda ila kimoyomoyo wanatukubali sana... Sema ndio vile sizitaki mbichi hizi
 
Ukitaka ukosanishwe na mama yako mzazi ndugu jamaa na marafiki oa Mchaga. Kuna jamaa aliacha mke wa kichaga baada ya mama yake mzazi kuseviwa km mchawi kwenye simu ya mkewe. Binamu yangu kaoa mchaga keshakosana na mama yake mzazi tena alifukuzwa usiku eti mchawi. Dogo mmoja kazini na yeye alikuwa kipenzi cha mama yake alipooa tu binti akawa hataki kumuona mama mzazi hamsalimii sasa hivi ndoa haipo. Jamaa yangu mmoja yeye ni mchaga kaishi Tanga. Kigoma anasema wanawake wa kichaga usitegemee akupe heshima km mama zetu walivyowafanyia baba zetu. Kwa ujumla ukioa mchaga jitayarishe kuwa frustrated. Hata kama una pesa no romance no lenience no ....
 
Ludeenyi waka wadu lanye luwaalike luwenyi. Nanyo waka wa kichaka, adanyienyi isho muiwiyo ipfo na mafuwe ho. Mkohamba wayi "walukundi" kwuuu!
Haya wahishimiwa mliolizwa na wamama atii mabinti wa kichagga. Poleni zenyuuu. Ningekuwa ni miye, nisingelikaa nimtazame mwanamke wa kichaga. Kwani ndio hao tu wamebakiiii???? Msiiye nyo naiyo
 
Ukitaka ukosanishwe na mama yako mzazi ndugu jamaa na marafiki oa Mchaga. Kuna jamaa aliacha mke wa kichaga baada ya mama yake mzazi kuseviwa km mchawi kwenye simu ya mkewe. Binamu yangu kaoa mchaga keshakosana na mama yake mzazi tena alifukuzwa usiku eti mchawi. Dogo mmoja kazini na yeye alikuwa kipenzi cha mama yake alipooa tu binti akawa hataki kumuona mama mzazi hamsalimii sasa hivi ndoa haipo. Jamaa yangu mmoja yeye ni mchaga kaishi Tanga. Kigoma anasema wanawake wa kichaga usitegemee akupe heshima km mama zetu walivyowafanyia baba zetu. Kwa ujumla ukioa mchaga jitayarishe kuwa frustrated. Hata kama una pesa no romance no lenience no ....
Roho mbaya ni mtu mwenyewe na si kabila ukijaji kwa kabila unakosea maana tunajua baadhi ya makabila yanayotuhumiwa kwa umalaya vipi ni kweli wrote Malaya ni nani aliyefanya hiyo research then akaja na huo udhibitisho? Watanzania wengi tunapenda kujaji Tabia ya mtu Fulani kwa jambo moja alilolifanya bila kujua mengi mema aliyoyafanya na hii tabia inaelekea kwenye makabila sasa.
Hicho ilichokiandika hapo juu bado hakihalalishi ubaya wa hao mabinti wa kichaga sababu hao uliowataja hapo hawakamilishi hata theluthi ya hao mabinti wa kichaga. No research no right to speak!!!
 
Wanajifanya hawaoni kazi yao ni kutafuta baya1 katika mema mengi
Mtoa mada atakuwa kamtongoza binti wa kichaga halafu kamkatalia kwa hasira kaja kuwaponda mabinti wa much aga humu. Kwanza hiyo research kaifanya lini na wapi? Sisi tunajua kujituma bwana habari ya maji ya kuoga ya mdalasini tumewaachia wasambaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom