I am so Low emotionally

Wats rong?? Umepigwa kibuti au..!?wafikirie na wale ambao hawana pa kulala au kula na wale walioko mahabusu na magerezani, walioko hospital wako hawajui hatima zao halafu angalia na hizo stress zako

Mshukuru Mungu una hata huu muda wa kupost hii thread, na pesa ya bundle hata kama ni Jero, kuna mwingine hiyo jero ina hesabu kibao na kila akipigia hesabu moja haisomi mbili haikai, Mshukuru Mungu

Napiga goti kukuombea
 
Ukianza kuishi kama free thinker u shld be fine. Kama kuna jambo ambalo huwezi kulibadili, likubali. Unaloweza libadilishe
 
Pole sana, but look whom to tell your problems,because some have more problem than yours,some will laugh at you and only few people will be concerned with your problem

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ahsante sana kwa kuniombea mkuu... najiona sawa sasa,sijapigwa kibuti,ila kuna ugumu nilikuwa nikiupitia nikahisi kama dunia inanimeza!!!!!

The reason behind..!?
I can't expose it here... thank you for your concern
pole sana
nakuombea
Asante mwallu... Mungu ni mwema nipo sawa sasa
pole sana, nakuombea, utakuwa sawa
Asante luv... luv u mingi!!!!

kuna mtu anahitaji maombi yako kule mtaa wa pili
Wewe nawe mwingiiiiii.....
Chagua Shansarie kuwa miss chit chat 2013.
Asante kwa ushirikiano wako!!
nitaku Baba V!!!!!
Ukianza kuishi kama free thinker u shld be fine. Kama kuna jambo ambalo huwezi kulibadili, likubali. Unaloweza libadilishe
You are always good at advising dada... keep it up!!!!!

Pole sana, but look whom to tell your problems,because some have more problem than yours,some will laugh at you and only few people will be concerned with your problem

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
NOTED!!!!
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kutumia sigara ----- utachangamka...
 
Pole mwaya yaani hapa ninaomba kwaajili yako, utapokea miujiza baada ya muda, usisahau kutoa ushuhuda na fungu la kumi.. Sawa mpendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…