*.~~I am proud of myself~~,*

niwe mkweli kabisa nasita kukupongeza na maadamu umejipongeza mwenyewe, sidhani kama ulihitaji tukupongeze....maana sijui nikupongeze kwa lipi hasa la AJABU.....lol
 
Hongera Sana, Uendelee hivyo hivyo maana ushetani ni uamuzi wa m2 tu hivyo ni wewe mwenyewe ndie muamuzi.
 
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI KUFANYA UZINZI (kumsalitu mume wangu) KWAKWELI NASTAIL KUJIPONGEZA.
eeh jamani hongera ila hujapishana na mimi hata kidogo kumbe na mimi nahitaji pongezi.
 
no sijatumia karolite wl mkorogo wa aina yyt nina rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
kwa sababu huna avater tuwekee portrait yako ila ufunike kichwa ili tu-prove kuwa una rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom