I am pregnant with Twins

wafate character za mjomba wao mimi hapa.....uta enjoy maisha.....nimeshuhudia ma kid wengi wanaofanana na mie huwa wanakuwa makini sana kuanzia kiwango cha akili darasani mpaka kitabia....
 
Nilivyo ona kichwa cha habari cha thread hii nilidhani ni mama ana ujauzito wa mapacha labda anataka ushauri au anatatizo lolote.kusoma ndani eti mtu anatu habarisha anaujauzito wa mapacha.teh teh teh,ngoja na mimi ni mshughulikie mai waifu nije ni tangaze hapa.:)
 
Hongera sana dada. Nakushauri uzingatie ushauri wa watalaam wa afya (Gynaecologist na Nurse Midwife wako) ikiwa pamoja na kwenda kliniki kama ulivyoshauriwa na kwenda wakati mwingine wowote ukiona dalili inayokuwa kinyume cha kawaida. Upande wa nyumbani kama kawaida zingatia kula mlo ulio kamili, hasa ulio na virutubisho na kunywa maji kwa wingi. Na mara ukijifungua zingatia uzazi wa mpango, kwapeleka mapcha kliniki kama ulitakavyoshauriwa na kwenda wakati mwingine wowote ukiona dalili inayokuwa kinyume cha kawaida. Uwanyonyeshe mapacha hao maziwa yako peke kwa miezi sita kabla hujaanza kuwapa chakula kingine. Baada ya miezi sita tangu kuzaliwa, hakikisha wanapata mlo ulio kamili, hasa ulio na virutubisho. Nakutakia kila jema wewe na mzazi mwenzio.

Ah! ma mdogoo. napenda muonekano wako
 
wafate character za mjomba wao mimi hapa.....uta enjoy maisha.....nimeshuhudia ma kid wengi wanaofanana na mie huwa wanakuwa makini sana kuanzia kiwango cha akili darasani mpaka kitabia....

I can't believe this.Kwa sababu nikiangalia rafiki zako wa karibu humu jf napata mashaka na madai yako ya hapo juu.Fidel08,masanilo,Nyani ng'abu,siwezi kuamini kama madai yako ni ya kweli.
 
wafate character za mjomba wao mimi hapa.....uta enjoy maisha.....nimeshuhudia ma kid wengi wanaofanana na mie huwa wanakuwa makini sana kuanzia kiwango cha akili darasani mpaka kitabia....

teh teh teh, dah!, hii imetulia.
 
Hongera mama.
Tukuombee Kikristo au Kiislamu au kibudha au Kimila au? au?
Be specific my fellow woman.
To be specific, will give you specific results.
 
Watu wanapenda sana kupata watoto mapacha siku hizi. Ukizaa once basi umemaliza. Una bahati ya pekee. Hongera sana!
 
wafate character za mjomba wao mimi hapa.....uta enjoy maisha.....nimeshuhudia ma kid wengi wanaofanana na mie huwa wanakuwa makini sana kuanzia kiwango cha akili darasani mpaka kitabia....

Teh teh teh duhh mama wa hao watoto anaweza akawatoa sadaka wakiiga tabia za mjomba'ao wewe duh
 
Lakini ujue kulea mimba si kazi,; kazi ni kulea wana.

Kulea wote kwa mpigo ni rahisi kuliko kulea mmoja mmoja. Anyway kwenye kila kitu kuna advantage na disadvantage zake lakini,sikubishii kwa asilimia 100. Cool!
 
well mummy hongera sana,
Naona wanaJF wamekupa nasaha tofauti kwenye ulaji bora, lakini na mimi ngoja niongezee, sasha unatakiwa UJIANDAE KISAIKOLOJIA pia, coz i have seen ma sister rising the twins, its not a joke(HASA WAKIWA WA KIUME) , darlin its crazy. i am a mother maself so i know its true kuwa na mtoto ni JOYFUL kwa mama na watoto wanaliwaza sana hasa unapokuwa down, but also STRESSFUL in real life.nasema hivyo nikimaanisha kwa mwanamke mfanyakazi au asiye mfanyakazi watoto mapacha are so demanding hata ukiwa na wafanyakazi zaidi ya wawili wa kukusaudia ,sometimes wanaweza kukusabishia ukaona hata mwenzi wako hakusaidiii na hakujali kama zamani na kuanza kulalamika na kumchukia ,NDO MWANZO WA MIGOGORO YA MAHUSIANO.
don quote me wrong sisemi it wil happen to you but am giving you another scenario kwamba usione upande wa mazuri tu pia kuna another side ambayo unatakiwa kujitayarisha nayo ili wakati ukifika ujue jinsi ya kuikabili hiyo challenge.
but all in all Mungu atakujaalia atakufanyia wepesi kwenye kujifungua kwako na ulezi wako .
MUNGU AKUBARIKI
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%.Mie Muumba amenijalia mapacha watatu,kila kitu kilibadirika.Uwezi kuamini mahusiano yangu na wife yaliyumba ile balaa,huku kila mmoja akiona hatendewi haki na mwenzie.Kiuchumi ndo usiseme kwani mama watoto maziwa yaligoma kutoka,hivyo tangu wadogo(walizaliwa premature) mpaka hii leo wananyonya maziwa ya kopo.Can you imagine man,ilikuwa si mchezo ndugu yangu.kusema kweli maisha yangu yaliteteleka sana hasa ukichukulia kwamba ndo ulikuwa uzazi wa kwanza kwetu na mbaya zaidi wife mimba ile ilimsumbua sana,miezi kama saba amelazwa muhimbili.It was a good test,namshukuru Muumba kwani nakaribia kuhitimu.NINA MENGI YA KUSEMA KUHUSU MAPACHA.Ongera sana dadaake,si unajua Muumba umpa amtakae wakati mwingine bila ya sababu za msingi.(kibinadamu)
 
Mhhh ndugu yangu pole ila hongera pia kama umeweza kuzikabili hizo changamoto mie wangu mmoja tu nanga inapaa sembuse watatu mhhhh ni mkazezee ,
Mungu akuzidishie nguvu na ustahamilivu
 
Unajua miongoni mwa vitu nilivyojifunza katika hili,"IMPOSSIBLE IS NOTHING" na mkuu ukisikia mtu anasema hawezi kukukimbia mwambie hajakimbizwa
 
Karibuni tu utaitwa mama wawili siyo.
FYI mimi ni baba wawili. Angalia wa kwangu hawa hapa 15yrs old
j1.jpg na j2.jpg
 
Hongera sana.Nakuombea nguvu za kutosha ili uweze kuhimili taji hiyo kubwa ya kubeba mimba na hatimaye kupata watoto.Ndo mwendo wa kuelekea kuitwa mama sasa!!
 
Back
Top Bottom