I am looking for graduates and anyone who is looking for job

I am looking for graduates and anyone who is looking for job

If your a graduates and looking for job... Or you have been looking for job i have got a business idea and i want to partner with you just give me a call 0657088003
together we can
your welcome

Mkuu jarib kuweka bayana idea yako ili tujue ni kitu gani maana usipofanya hivyo itakua ngumu sana kupata watu, sema hata kwa kifupi idea yako inahusu nini
 
Thanks a lot your welcome too,I'm eager to get my daily blade from you I'll give your call.
Hahahahaaaa, eti my daily blade khaa!Inanikumbusha clip moja kwenye mchakato wa kuwatafta wawakilishi wa bunge la EA, kuna mmama alinivunja mbavu na kiingereza kama chako
 
Duet na kiswahili si chepesi. Lugha yangu ya kwanza si kiswahili bali lugha ya kabila langu. Japo kwa sasa namudu kwa kiwango kinachokubalika kwa kuongea na kuandika lugha nne za kimataifa ukiodoa kiingereza.
 
hatufanikiwi kwasababu y kukatishana tamaa.nani alizaliwa na lugha kila kitu tunajifunza.mbona wazungu wanapojifunza kiswahili huwa tunawakenulia tu meno hatuwakosoi.jamani sio ustaarabu kumkosoa mtu namna hiyo kisa wewe unajua lugha y kigeni.hivi kufanikiwa kuongea kiingereza ndio kufanikiwa maisha? usimdharau mtu usiyemjua na hata unaemjua
 
forever hao, wazee wa alovera.
Tunawajua vizuri Ndio mana wanaona aibu kuweka wazi Mambo yao. Wanawaibia WATU na kuwapotezea muda.
 
Back
Top Bottom