I am looking for graduates and anyone who is looking for job

Hahahahaaaa, eti my daily blade khaa!Inanikumbusha clip moja kwenye mchakato wa kuwatafta wawakilishi wa bunge la EA, kuna mmama alinivunja mbavu na kiingereza kama chako

Hahahahaaaaaa I'm rose mwalusamba from cuf mbeya I have three crids ,my daily blade I'm contactor having having noleji in political sayansi and internashino relation but profeshenale I'm politician madame speaker I'm very glade I'm very sorry I'm withdral from contesting.
 
If your a graduates and looking for job... Or you have been looking for job i have got a business idea and i want to partner with you just give me a call 0657088003
together we can
your welcome

ndo maana mimi post zangu huwa kwa Kiswahili,, sioni sababu ya kujinanga humu
 
Hahahahaaaaaa I'm rose mwalusamba from cuf mbeya I have three crids ,my daily blade I'm contactor having having noleji in political sayansi and internashino relation but profeshenale I'm politician madame speaker I'm very glade I'm very sorry I'm withdral from contesting.

Hahahahaaaa King Kong umenivunja mbavu zangu mchana huu aisee
 
Sidhani kama jamaa atarudi humu kufuata feedback.
 
Ila huku ukiwa mwepesi kukwazika walah haurudi tena,hahahaaa!!!
Ila wadau msiache kumpigia simu,angalau afarijike
 
FaizaFoxy sikumbuki lini umesahihisha ung'eng'e.
c.c bategereza

Nimeshawahi mara nyingi tu na mara nyingi huwa nnasema "hizi lugha za watu, yanini kuandika kama kinakupa shida na Kiswahili chetu tunacho". Ngoja nikipata nafasi ntakuwekea link ya sehemu niliposahihisha Kiingereza.

Kumbuka, katika Kiswahili mara nyingi huwa sisahihishi makosa ya kawaida kama typo, mara nyingi huwa nasahihisha R na L zinapokosewa kuwekwa, kwani huweza kuleta maana tofauti mfano "fahari" na "fahali" ni maneno mawili yenye maana tofauti na ukikosea R na L kwenye mojawapo unaleta maana nyingine kabisa.

Au pale neno ambalo limekosewa kuandikwa na linaweza likaleta maana mbili tofauti ambazo haijulikani ni ipi aliyokusuduai mwandishi, mfano mzuri ni neno "kuaghirisha" na "kuakhirisha" linapoandikwa "kuairisha". Si unaona? inakuwa haijulikani mtu alimaanisha kughairisha ambalo lina maana wameghairi na tukio halitofanyika tena au kuakhirisha ambalo lina maanisha tukio litafanyika tena na limecheleweshwa tu.

Upo hapo ulipo?
 
Sawa sister F, ila kwenye salaam za Eid haukuwa fair, ulikuwa ukiziachia tu za " Minal faidhina " unaziachia zikipita tu unazimezea..tena si mmoja wala wawili ni wote...
 
Eid siku ya furaha na kusameheana.
 
nimeshawahi mara nyingi tu na mara nyingi huwa nnasema "hizi lugha za watu, yanini kuandika kama kinakupa shida na kiswahili chetu tunacho". Ngoja nikipata nafasi ntakuwekea link ya sehemu niliposahihisha kiingereza.

Kumbuka, katika kiswahili mara nyingi huwa sisahihishi makosa ya kawaida kama typo, mara nyingi huwa nasahihisha r na l zinapokosewa kuwekwa, kwani huweza kuleta maana tofauti mfano "fahari" na "fahali" ni maneno mawili yenye maana tofauti na ukikosea r na l kwenye mojawapo unaleta maana nyingine kabisa.

Au pale neno ambalo limekosewa kuandikwa na linaweza likaleta maana mbili tofauti ambazo haijulikani ni ipi aliyokusuduai mwandishi, mfano mzuri ni neno "kuaghirisha" na "kuakhirisha" linapoandikwa "kuairisha". Si unaona? Inakuwa haijulikani mtu alimaanisha kughairisha ambalo lina maana wameghairi na tukio halitofanyika tena au kuakhirisha ambalo lina maanisha tukio litafanyika tena na limecheleweshwa tu.

Upo hapo ulipo?
da faiza, assalam alaykum. Naomba unipe msaada vipi naweza kupata kazi ya online.mimi ni mhasibu na nimeajiriwa moshi kwa sasa.
 
In Sha Allah, kwa sasa sifahamu accountants wanaajiriwa vipi online, lakini ntajitahid kutafuta na kujifunza na ntakapoelewa tu ntakujulisha.

Na nnatumai kuna wana JF wanaoelewa hilo basi nadhani nao watakusoma na kutufahamisha zaidi.
 
Dada faiza mzima?nina interest ya kufanya kazi nje ya tanzania,katika nchi yoyote yenye unafuu wa gharama za maisha na utulivu wa kisiasa,kama una link unaweza kunisaidia,fani yangu kwa experience ni ufundi umeme,hivyo hata paid apprentinceship
naweza kufanya umri unairuhusu
 
Ntakutumia namba kwa pm, ongea na huyo mtu mwenye namba,mwambie umepewa na Faiza na In Sha Allah atatimiza wajibu wake.
 
Back
Top Bottom