unatafuta 'modo' au 'mpenzi'!?
Akiwa Model type nitafurahia zaidi ila sidhani kama kuna tatizo lolote mtu kusema anachokitaka.
Pia kumbuka sitafuti mfanyakazi wa ndani.... so uzuri ni moja ya kigezo kikubwa kuliko vingine vyote, the rest are just bonus.
Do you have a problem with my preferences? i can't help you on that my friend.
Alivyojipendelea sasa?
Hadi kasahau mileage yake imesogea si mchezo.
hahahaha ! du nimejiiuta nimeangua kicheko kizito.eti mileage yake imesogea
Comeon bby mmmh...i feel u honeyyy....my heart beats anticlokwiswe direction when i miss u....Ghosh!!!
Lol. Uongo mkuu?
hahaha! kama ni gari inatowa moshi
hahahaaaa wewe ladyfurahia unafurahia nini eti?
Mi nimeshasema ninapotoka ni hapa sasa mbona unauliza natoka wapi
Haters...........lol