I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

Wabongo bana hamna dogo......Kama haikuhusu soma endelea na shughuli zako. walio serious wamenicheck tayari.
Sio lazima utoe maoni yako kwenye kila thread unayoiona hapa....jibu kitu ambacho kinakuhusu acheni tabia ya kutoheshimu wenzenu.
Huu ni utaratibu ambao unasaidia watu walio busy na mambo mengine....sio kila mtu ana muda wa kutafuta na sio kwa kupenda.

Thanks,
Serengeti
Serengeti ukishapost kitu hapa kubali yote mazuri na mabaya ya kutia hasira na ya kufurahisha pia ya kukatisha tamaa na kukarahisha pia! Hapa ni tofauti na sehemu kama WHATSAPP ambapo wote mnafahamiana
Kwahiyo inabidi uyapokee yote ila yachukue yale unayoyaona yanakufaa na hata yale usiyoyapenda jifunze kitu kupitia kwayo
 
Last edited by a moderator:
weraweraaaaa bestito weraweraaaaaaaaaa bestito mwambie huyo atawaweza wa gizani hapa thubutuuu
aende akaangalie hko huko hukooooo hehehehehehheheheheiieeeeeiyaa

Aisee!!!!

Wewe ni mwanamke wa aina gani???

Vicheko hovyo..hmm!!!
 
Mbona huko serengeti wako wengi tu

Hi Ladies,

I am a 42yrs male, 6 ft tall and medium body type, degree holder and i am looking for a beautiful woman at her 24 to 33, no kids with a degree, 5'4" - 6ft, athletic to medium body type. for serious prospects please email me at mako9905@gmail, if you need more information regarding me ( my where about , picture and phone number etc)

NOTE1: If interested please attach your picture to the corespondent email.
NOTE2: I prefer someone living in the U.S, Tanzania and Europe.
 
Hiko kama sio American English basi kitakuwa Nigerian English:msela:
 
Majibu yako tu hapa nimepata jibu why at 42 hujaoa... Nani atakayevumilia mwanamme mwenye jazba😳
Wewe sura yako ikoje, sio unataka mzuri wakati wewe mwenyewe uso ka kiazi...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Majibu yako tu hapa nimepata jibu why at 42 hujaoa... Nani atakayevumilia mwanamme mwenye jazba😳
Wewe sura yako ikoje, sio unataka mzuri wakati wewe mwenyewe uso ka kiazi...


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sipati picha sura ka kiazi...hahahaaaa umenichekesha sana mdau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom