"I am just a small boy"

hiyo inahitaji uwe mstaafu kama mimi.....
nondo zoote zikishindikana ndo unaapply hii....
vuta subra kidogo, sasa unataka umpite dadako na wewe? mkubwa ni mkubwa tu

Bora manake anaweza hata kuianzia majaribio kwa mwanafunzi wake bure....na ninavomfahamu mwalimu wangu sidhani kama nitapona.....Eee Mungu nisaide.
 
itakuwa BAK anasaidiamo na kuweka tumaua si unamjua alivo lover boy na yeye manake nay watoto wa kingoni walichomtenda si kidogo ati!
so anajua swag zao!
ha haaaa.... BAK kuja kujibu tuhuma za watoto wa kingoni hapa, lol!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
jamani jamani........
ngoja mwenyewe aje hapa uone zali lake
 
Bora manake anaweza hata kuianzia majaribio kwa mwanafunzi wake bure....na ninavomfahamu mwalimu wangu sidhani kama nitapona.....Eee Mungu nisaide.
AHAHAHAHAHAHHAHAHHHAHAHHA nasubiri mpka na wewe ustaaafa ndo NAKUBUST NAYO HII!kadiri atakavonipa somo dad mkubwa
 
Bora manake anaweza hata kuianzia majaribio kwa mwanafunzi wake bure....na ninavomfahamu mwalimu wangu sidhani kama nitapona.....Eee Mungu nisaide.
ha haaa, ndo maana naibania ili angalau u-graduate....
maana nikimpa hiyo ujue sup kila siku.......
maana jibu unalijua ila UNASAHAU
cc: snowhite
 
Last edited by a moderator:
haaaa snowhite njoo umsikie dadako apa! LOL

Am no going nowhere.....if anything I am here for good....umefika getini? #justasking

ahahhahhah Kaizer ujue tunamzuia dada mkubwa kutoka nje!
babu anachomeshwa mahindi tu huko!
ila poa wacha akumbushiamo!
zamani ilikuwa mzee k ndo kakaa hapo af babu anadekije rum mara kumi kumi!(hii aliisema mwenywe hapa hukuwepo tu mwanafunzi wangu uzuri mi huwa notes naziwekaga kichwani lol)
 
Last edited by a moderator:
mpira umeshaanza......
na timu yako inafungwa usipoangalia, shauri yako
kazier mpishe dada mkubwa anataka kutoka bana!
we unafkir ye anafurahi kumfanya babu aumwe na mbu!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, ndo maana naibania ili angalau u-graduate....
maana nikimpa hiyo ujue sup kila siku.......
maana jibu unalijua ila UNASAHAU
cc: snowhite
ahahhahahhahahahhahahhah alivo na haraka ya kutest mtaala mpya huyu wakati hajui ndo kwanza upo kwenye tume!lol!bora usinipe hiyo miteknik
 

hhahaha hii niliiona pia nikauchuna sikutaka kuintervene....lol mwalimu snowhite hasahau kabisa
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahhahahahhahahhah alivo na haraka ya kutest mtaala mpya huyu wakati hajui ndo kwanza upo kwenye tume!lol!bora usinipe hiyo miteknik

ewaaaa thats my teacher...yaani ananijua mwanafunzi wake kuliko..hata sijauliza swali ameshani pre=empty kabisa lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…