Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Hapana mkuu, muulizaji ameuliza na ni haki yake kujulishwa. Me nadhani swali lake halipo kumkajeli yoyote, nadhani anataka kujua juu ya hili suala na watu wamelijibu vizuri tuWewe kama sio muislamu mambo ya uislam unayachunguza ili iweje?
Pambana na hali yako,tusichoshane tuu hapa kwa kejeli na mengineyo yasiyokuwa na tija kwenye tanzania yetu ya V wonder