I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

Wewe kama sio muislamu mambo ya uislam unayachunguza ili iweje?
Pambana na hali yako,tusichoshane tuu hapa kwa kejeli na mengineyo yasiyokuwa na tija kwenye tanzania yetu ya V wonder
Hapana mkuu, muulizaji ameuliza na ni haki yake kujulishwa. Me nadhani swali lake halipo kumkajeli yoyote, nadhani anataka kujua juu ya hili suala na watu wamelijibu vizuri tu
 
Mungu haonekani...hiyo ni sifa yake kuu. Sasa wewe unayetaka kukwona unakuwa ni mtu mwenye hasara kubwa!
Kama haonekani nani alimuona na kuthibitisha yupo, kitu kisichoonekana kinasemekanaje kua kipo?

Yani kitu hakionekani alafu unasema kipo?
 
Kama haonekani nani alimuona na kuthibitisha yupo, kitu kisichoonekana kinasemekanaje kua kipo?

Yani kitu hakionekani alafu unasema kipo?
Ingia katika ukristo kama huamini Mungu yupo. Maana wao walimgeuza mtu Mungu. Eti akafanyika mwili kisha akaja akaishi nasisi wanadamu hapa duniani kisha tukawa tunakula naye na kunywa naye. Inalilahi Wainailaih Rajuun.......!
 
Swalaah ya Jama’ah ni waajib kwa wanaume na sio kwa wanawake
Imependekezwa kwenda kuswali Msikitini Swalaah za usiku kwa wanaume na sio kwa wanawake.
Wanawake hawalazimiki kuhudhuria Swalaah ya Ijumaa, wanaume ni lazima
Swalaah ya ‘Iyd ni waajib kwa wanaume, lakini si kwa wanawake. Hata hivyo imependekezwa kwa wanawake kuhudhuria ikiwa kutakuwa hakuna jambo litakaloleta fitna.
Ukhty natamani nijifunze kupitia kwako ila duh umekuwa mbaya sana
 
Ukhty natamani nijifunze kupitia kwako ila duh umekuwa mbaya sana
Uislam ni mgumu sehemu mbili tu. Kuswali sala tano na kufinga mwezi wa ramadhani. Wengi wanashindwa hapo. Otherwise watu wote wangekuwa ni waislam........
Hapo tu kwenye hivyo vitu viwili ndio kikwazo. Endelea kujifunza kidogokidogo utauelewa uislam japo si lazima usilim.
 
Swalaah ya Jama’ah ni waajib kwa wanaume na sio kwa wanawake
Imependekezwa kwenda kuswali Msikitini Swalaah za usiku kwa wanaume na sio kwa wanawake.
Wanawake hawalazimiki kuhudhuria Swalaah ya Ijumaa, wanaume ni lazima
Swalaah ya ‘Iyd ni waajib kwa wanaume, lakini si kwa wanawake. Hata hivyo imependekezwa kwa wanawake kuhudhuria ikiwa kutakuwa hakuna jambo litakaloleta fitna.

Kama hawajaelewa basi wana matatizo Yao hao
 
Kitu kinaitwa mungu hakipo, labda unionyeshe kua huyu mungu ndio huyu.

Ukisema unaamini maana yake huna uhakika, sasa kitu usichonacho uhakika utasemaje kipo?

Unamuamini mama yako au baba yako kwa kua unamuona, unamwamini Mungu ulimuona wapi?

Ukisema unaamini maana yake uko tayari pia kudanganywa.

Nikupe mfano mdogo kusaidia akili yako, kama mimi na wewe tumekaa mahala, akapita muuza machungwa, mimi nikanunua chungwa nikala, ukaniuliza hayo machungwa matam au machachu, nikakujibu matam.

Baadae wewe ukiwa umekaa na rafiki yako mwingine yule muuza machungwa akapita, rafiki yako akauliza kama yale machungwa matam au machachu, wewe ukajibu ni matam ila nimeambiwa na flani mimi sijaonja.

Je unakua na uhakika gani kama mimi nimekwambia kweli au nimekudanganya, kama nilikudanganya maana yake wewe pia umendanganya rafiki yako, kama nilikwambia kweli, wewe pia utamwambia ukweli rafiki yako, na kama nilichanganya uongo na ukweli wewe pia utakua umefanya hivyo kwa rafiki yako.

Kuamini maana yake ni kukubali chochote unachoambiwa bila kua umehakikisha mwenyewe. Na hii ni mojawapo ya ishara ya ugongwa wa akili, utaahira au mtindio wa ubongo. Kukubali chochote bila kuhoji.

Sasa naomba uniambie wewe huyu mungu wako unaesema ni bora yuko wapi, anafanya nini na umemlinganisha na mungu gani ukaona yeye ni bora?
Wewe unaamini hakuna Mungu au una hakika kuwa hakuna Mungu?
 
Uislam unabeba kombe kwenye maeneo yafuatayo;
1.kuoa Wake wanne (with possibility of group divorce ukaanza upya).
2. Kuepuka ufahari hasa harusin/misibani.
3. Kufunza wanawake kuwa watiifu mbele ya waume zao
4. Ruksa kuoa/olewa ndugu wa karibu.
Wakristo watabeza suala la kuoa ndugu wa karibu. Wakibeza nawapa andiko kwenye biblia.........
 
Ndugu yangu kwanza nakukaribisha katika uislam, katika dini ya haki,

Mwanamke akiswali nyumban anapata fadhila nyingi kuliko msikitini

Pia mwanamke anatakiwa kuwa nyumbani kulinda Mali za mumewe, anaposali watoto wanamuona na taratibu wanaanza kuiga (vile mama yao anavyosali)
Na kiuislam mwanamke anapokuwa kwenye hedhi hairuhusiwi kujulikana Kwa watu isipokuwa mumewe

Sasa wewe ushazoea kumuona Jane kila siku anapita barazani kwako way masjid, Mara tano Kwa siku halafu gafla siku tatu mfululizo sendi,siku ya NNE naenda,lazma Kwa mwenye akili anote kitu ahaaa kumbe Jane anablid ndo haitakiwi
 
Huyo mungu wa wenu waislam yuko wapi?

Uwezo wako wa akili ni mdogo, kuna sehemu nimeongekea mungu wa wakristo hapa au kusema mimi ni mkiristo?

Naomba unionyeshe basi huyo mungu wenu ambae ni bora kuliko wa wakristo. Nataka kumuona nijue kweli ni bora kuliko wa wakiristo.
Ukioneshwa Mungu ndiyo utawezaje kujiridhisha kuwa ni kweli Mungu? kwa mfano ukiambiwa kuna mtu anaumwa vidonda vya tumbo je unadhani kumuona tu huyu inatosha kujiridhisha kuwa ni kweli huyo mtu ana vidonda vya tumbo kisa umemuona tu?
 
Katika uislam mwanamke kuswalia nyumbani ndo inafaa zaidi kuliko kwenda msikitini. Kwahiyo huwa wanaswaliwa nyumbani.
 
Hawanaga drama sana kwahiyo huwezi kuwaona,
huwezi kuwaona wamebebelea vitabu kwamba wanaenda kusali na ukikutana nao unadhani akina mama wanaenda marikiti,
hao wanaume unawanote kwasababu wengine wanavaa kanzu ndo maana,
lakini asipovaa kanzu huwezi jua anaenda msikitini kwani wao hawabebi quran kama wenzao christian
 
Uislam ni mgumu sehemu mbili tu. Kuswali sala tano na kufinga mwezi wa ramadhani. Wengi wanashindwa hapo. Otherwise watu wote wangekuwa ni waislam........
Hapo tu kwenye hivyo vitu viwili ndio kikwazo. Endelea kujifunza kidogokidogo utauelewa uislam japo si lazima usilim.
Alhabeeb, shukran sana ila hii ni ne'ema ambayo mwenyezi mungu ameunemesha ukoo wangu. Nimezaliwa na mwanamke wa kiislam, nimetoka katika mgongo wa mwanamme wa kiislam. Nimesoma uislam na nimeridhia dini yangu kuwa muislam. Katika hijjatul wada'a Allah subhaanahu wa taala kupitia mtume wake mtukufu rehma na amani ziwe juu yake alituambia siku ile ndio ametukamilishia dini yetu na ameridhia uislam uwe dini yetu. Nami nimezaliwa katika koo ya kiislam lakini tu baada ya kupata akili zangu na kila uchao nazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli na ya haki
 
Habarini, sijui nimepofushwa macho au! Ni kwamba sijawahi waona wanawake waislamu hapa Tz wanaenda msikitini. Ninapokuwa mida fulani vijiweni, ikifika adhana, ni wanaume tu hujisogeza msikitini. Pia siku ya ijumaa, sijawahi waona au hata kumsikia mwanamke wa kiislamu akisema naenda msikitini.
Hivi ni mimi tu au ushamba wangu au ni kweli hawaendagi msikitini au huwa wanaenda kwa siri??
FaizaFoxy.
Ni hujawahi tu kukutana nao na labda ni kwa sababu ya aina ya hao wanawake unaokuwa nao kwamba si wacha Mungu hivyo huwezi kuwaona wakienda kumuabudu Mungu
 
Kitu kinaitwa mungu hakipo, labda unionyeshe kua huyu mungu ndio huyu.

Ukisema unaamini maana yake huna uhakika, sasa kitu usichonacho uhakika utasemaje kipo?

Unamuamini mama yako au baba yako kwa kua unamuona, unamwamini Mungu ulimuona wapi?

Ukisema unaamini maana yake uko tayari pia kudanganywa.

Nikupe mfano mdogo kusaidia akili yako, kama mimi na wewe tumekaa mahala, akapita muuza machungwa, mimi nikanunua chungwa nikala, ukaniuliza hayo machungwa matam au machachu, nikakujibu matam.

Baadae wewe ukiwa umekaa na rafiki yako mwingine yule muuza machungwa akapita, rafiki yako akauliza kama yale machungwa matam au machachu, wewe ukajibu ni matam ila nimeambiwa na flani mimi sijaonja.

Je unakua na uhakika gani kama mimi nimekwambia kweli au nimekudanganya, kama nilikudanganya maana yake wewe pia umendanganya rafiki yako, kama nilikwambia kweli, wewe pia utamwambia ukweli rafiki yako, na kama nilichanganya uongo na ukweli wewe pia utakua umefanya hivyo kwa rafiki yako.

Kuamini maana yake ni kukubali chochote unachoambiwa bila kua umehakikisha mwenyewe. Na hii ni mojawapo ya ishara ya ugongwa wa akili, utaahira au mtindio wa ubongo. Kukubali chochote bila kuhoji.

Sasa naomba uniambie wewe huyu mungu wako unaesema ni bora yuko wapi, anafanya nini na umemlinganisha na mungu gani ukaona yeye ni bora?
Ndugu yangu kila unavyojifanya eti una akili ndivyo tunavyozidi kukuona kiasi gani wewe ni mjinga na mpumbavu. Ni bora ukae kimya ili tusijue wewe ni mjinga kiasi gani kuliko kuongea na tukathibitisha wewe ni mjinga kiasi gani. Unaujua ukimwa mkuu?? umewahi kuuona ukimwi??? siongelei u-wembamba wa mtu aliyekonda na mifupa ikamtoka na akawa anakohoa mfululizo ukasema ana ukimwi, laaaaa. Naongelea ukimwi.

Mimi tu nikujulishe kuwa UISLAM hauna haja ya wewe kuwa muislam wala wewe kuamini juu ya uungu wa mungu mmoja. Wewe kuwa ulivyo hakuusaidii chochote uislam wala hukuupunguzii chochote uislam, Uislam upo na utakuwepo milele na milele. Wewe baki na ukafiri wako na uislamu hautaki watu wapumbavu na wajinga kiasi hiki.

Allah anasema, "tukazisimamisha mbingu saba bila kuwa na kizuizi, hivi nyinyi hamfikiri"??? Kwa hiyo basi hata ile kuona tu kwamba kuna mungu wanaweza tu wale watu wanaofikiri. Ambao hawawezi hata kufikiri a.k.a nyumbu, hawawezi kuona kwamba kuna mungu.

La mwisho ni kwamba, hivi unawashwawashwa na nini juu ya uislamu??? ni nini haswa kinakuuma kuhusu uislamu?? Hakuna namna yoyote utaudhuru uislam wewe hata ukichukia. Allah ametuamrisha tulitaje jina lake hata wakichukia MAKAFIRI. Allahu akbar..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom