Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,273
- 6,432
Ok baada ya kupata majibu je ni yapi yalikuwa kichwani kwako ulipokuwa huoni wanawake kwenda msikitini?Habarini, sijui nimepofushwa macho au! Ni kwamba sijawahi waona wanawake waislamu hapa Tz wanaenda msikitini. Ninapokuwa mida fulani vijiweni, ikifika adhana, ni wanaume tu hujisogeza msikitini. Pia siku ya ijumaa, sijawahi waona au hata kumsikia mwanamke wa kiislamu akisema naenda msikitini.
Hivi ni mimi tu au ushamba wangu au ni kweli hawaendagi msikitini au huwa wanaenda kwa siri??
FaizaFoxy.