I am happily divorced, women are devil.!

Umenena vyema, 'baadhi'.
Usisahau kuna baadhi ya wanaume hata ubebe na mbeleko ya bati hawabebeki! Its human nature, tuko tofauti.
baadhi ya wanawake hata uwape nini bado ni problems tu ninakubali kwamba they are troublesome not devils by the way.
 
Kaaazi kweli kweli.

Haya mwambie asijihusishe na wanawake tena, hata ndugu zake wa kike/wanawake awatenge kabisa. In other words AOKOKE na aachane kabisa na mashetani.
 
They say that, but ndoa haina fomula kumbuka unapooa yule ni mkeo; sio house girl wako muhudumu wala mfanyakazi wako ni mwenzio m-treat na kuheshimiana kama binadamu hakuna malaika kati yenu hebu pitia mchango wa yatima hapo juu
 
Women are like hurricanes, they come as wet and wild and they leave with your house, cars and dignity.

Bwana haya ni kweli kabisa, nilishaona ndoa fulani hivi mwanaume alioa sasa nadhani Bibie akamboa akajitahidi kurekebisha mambo ikashindika akaamua kuoa mke wa pili, bibie akang'ang'ania talaka akapewa , basi akasema kwenye nyumba siondoki, cha kushangaza akaolewa AKAINGIA NA MUMEWE NDANI YA ILE NYUMBA, imagine nyumba ile wajenga wote na mumewe, yule mume alipooa akaondoka ndani ya ile nyumba kuafuta nyumba ya kupanga, ila yeye alivoolewa akaingia na mumewe na hivi ninavokwambia mke yule ana watoto wawili kwa mume mwengine. hivi ninavoongea yule mwanamke bado anaishi katika hiyo nyumba alojenga na mwenzie na mumewe na watoto wawili alozaa kwa huyo mume wa pili. kaka wa watu amelalamika weeee mwisho anasema anamuachia Mungu. teh teh teh jamani mue mnaangalia watu mnapanda mbegu zenu na wanawake nao wawe wanaangalia waume wa kuwaoa hivi "INFATUATIONS" baada ya ndoa wau kuchokana hazifai. Mchambuzi inabidi utoe mda inayohusu ndoa , mwanzo jinsi ya kutafuta chumba mpaka NDoa, nadhani tatizo linaanza hapa kule kwa wazaramo wanasema "WANASOLANA" maana wanaokotana tu barabanai ... turudi kwenye jadi za kizamani za wazazi kutafutia wachumba watoto.
 
Umenena vyema, 'baadhi'.
Usisahau kuna baadhi ya wanaume hata ubebe na mbeleko ya bati hawabebeki! Its human nature, tuko tofauti.

yah ni kweli kabisa kili mtu ana matatizo yake il kichouma ni pale mfano unahisiwa kucheat wakati si kweli unajitahidi kuprove kwamba si kweli na hapo ndipo matatizo yanaanza ni kwa pande zote tu siyo wanawake tu.
 
Kwa kifupi wakibebwa hawakunji miguu.
Wanaiburuza tu chini lol
Hawa lazima uwashushe haraka sana.

Umenena vyema, 'baadhi'.
Usisahau kuna baadhi ya wanaume hata ubebe na mbeleko ya bati hawabebeki! Its human nature, tuko tofauti.
 
Ndoa ni nyingi zenye matatizo.... Mara nyingi inapotokea ndoa imevunjika kila mmoja wa ma ex's hao hushuhudia kua wao walikua wema na kwamba ex wake ndie alie kua na madhaifu zaidi. Kuweza pata Ukweli ni pale tu wote wawili wanapokuwepo.

Hata hivo kwa kuzingatia topic yako; napenda nigusie kua hapo ndipo watalaka hukosea... Unapomkashifu huyo ex wako mara kwa mara ina maana hata kwa watoto wafanya hivo hivo (kuonesha mama/baba yao alikua in the wrong; which is not rite sababu watoto wanatakiwa waheshimu mzazi wao no matter ana madhaifu yepi!). Ingekua kila mtalaka anakaa vizuri na kutafakari nafasi yake katika kuvunjika kwa ndoa... Ingesaidia sana sisi kujifunza tokana na Makosa, Ingesaidia kua wastaarabu na saingine hata kutambua kua kwa kweli spouse wako alikua akijitahidi juu yako ila wewe mwenyewe ulikua na madhaifu mno, na pia kutujenga kama wanadamu; through learning from mistakes.

Hata hivo kuna ex's wanaumiza jamani..... Wanaumiza mno na watamani Umtukane kabisaaaa! Hasa kama bado ana uwezo wa kukuumiza na hali msha talakiana. It hurts....

Umemamaliza kila kitu.
kwa nyongeza tu ni kwamba tena hao unawakuta wakiongea madhaifu ya ma x wao wengi wao ndio ukichunguza utakuta walikuwa na matatizo au utakuta mtu anaumi rohoni kuacha na mwenzake lakini anajifanya aumiii, yaani unakuta bado mwenzake yuko moyoni na anampenda lakini chance ndio inakuwa hakuna tena tena sasa kujiridhisha anaanza kumsema kwa ubaya.

Hii huwa inatokea sio kwa wana ndoa tu hata marafiki wa kimapenzi wanapoachana kama bado kuna mmoja anamapenzi na mwenzake na kuachana huko kunatokea kwa namna ya kuumiza basi utamkuta akimtangaza mwenzake kwa ubaya tu wakati wote hawezi kumsema kwa uzuri hii ni katika kujifariji na kujipa moyo akiongea hivyo kuna kauchungu flani kanamtoka.

AD umenikumbusha niliwahi kushuhudia maisha ya ndugu yangu mmoja mke wake hakuwa na tatizo lolote jamaa tabia yake ilikuwa mbaya sana maana mara nyingi nilikuwa naye na nilikuwa nikishuhudia jinsi alivyokuwa akifanya mambo yake ya ovyo ovyo nje ya ndoa alikuwa, kuna wakati anatembea hata wadada wanaomsaidia kazi za nyumba inaleta mgogoro kweli na mke wake na ikitokea mke akamwondoa huyo msichana basi anamwamrisha mke wake akae nyumba asiende kazini ili kumkoa yaani alikuwa anamtesa sana yule mwanamke, siku ya siku ikatokeze mwanamke akshindwa kuvumia akaondoka sasa shuhudia jamaa alivyoanza kumsema kwa ubaya watu wasiomfahamu jamaa wakawa wanamwonea huruma na kumchukia kweli mke wake. siku moja niko na mke wangu akawa anamsema huyu mke wa jamaa yangu kuwa amemtesa sana mumewe kwa mambo ambayo mumewe alikuwa akiyasimulia nilichomwambia ni kwamba kabla ya kuhukumu ungeweza kusikia au kuona na upande wa pili umsikilize muhusika ndio ungejua kinachoendelea.
 
Hii ni kwa sababu kile kiapo cha ndoa huwa tunakitoa mdomoni tu, na sio moyoni. NAkumbuka kuna sehemu kiapo hicho kinasema. "Na kama mtalazimika kuachana, muachane kwa amani/hisani" kitu kama hicho. Laiti kama tungekuwa tunalifuata.
Niliwahi kuhadithiwa kisa hiki cha kweli:

Jamaa mmoja baada ya kushindwa kuiokoa ndoa yake/yao, aliachana na mkewe. Rafiki yake wa karibu alishangaa sana kwani alikuwa anahisi hakuna mgogoro wowote, iweje waachane. Kwa hivyo akawa anamshikilia amwambie sababu gani alimwacha mke wake. Yule ex-mume alikataa katakata, mwisho akamwahidi rafiki yake, "ikiwa ex-wangu ataolewa, nitakuambia sababu ya kuachana kwetu."

Haukutimia mwaka yule ex wake akaolewa. Rafiki aliona ni wakatimsasa wa kujua sababu ya kuachana kwao. Alipomkabili akakutana na jibu hili: "Niliishi na mke wangu miaka 5, na wewe kama rafiki yangu uliona mgogoro wote? Hukuona kwa sababu mambo yetu ya ndani yalikuwa yetu. Na zaidi, ikiwa hukuona migogoro hiyo tulipokuwa pamoja, ikiwa sikuweza kukuambia sababuya kuachana kwetu mara baada ya kuachana, nitawezajekukuambia leo wakati yule tayari ni mke wa mtu?"

Nahisi hatuna haki ya kuwasema vibaya ma ex wetu. Hivi katika kipindi chote tulichokuwa nao, hakuna jema walilotenda hata ikabidi tutoe machafu yao tu? Hata tukifanya hivyo, itatusaidia nini? Mawazo yangu, walalamishi baada ya mahusiano hufanya hivyo kutaka kuficha maovu yao.
 
Ndoa ni nyingi zenye matatizo.... Mara nyingi inapotokea ndoa imevunjika kila mmoja wa ma ex's hao hushuhudia kua wao walikua wema na kwamba ex wake ndie alie kua na madhaifu zaidi. Kuweza pata Ukweli ni pale tu wote wawili wanapokuwepo.

Hata hivo kwa kuzingatia topic yako; napenda nigusie kua hapo ndipo watalaka hukosea... Unapomkashifu huyo ex wako mara kwa mara ina maana hata kwa watoto wafanya hivo hivo (kuonesha mama/baba yao alikua in the wrong; which is not rite sababu watoto wanatakiwa waheshimu mzazi wao no matter ana madhaifu yepi!). Ingekua kila mtalaka anakaa vizuri na kutafakari nafasi yake katika kuvunjika kwa ndoa... Ingesaidia sana sisi kujifunza tokana na Makosa, Ingesaidia kua wastaarabu na saingine hata kutambua kua kwa kweli spouse wako alikua akijitahidi juu yako ila wewe mwenyewe ulikua na madhaifu mno, na pia kutujenga kama wanadamu; through learning from mistakes.

Hata hivo kuna ex's wanaumiza jamani..... Wanaumiza mno na watamani Umtukane kabisaaaa! Hasa kama bado ana uwezo wa kukuumiza na hali msha talakiana. It hurts....

mmh some1 is speaking from experience. Hapa mtu alishawai kuachwa nin. Good post though.
 
Labda tuanzishe ndoa za mikataba ya miaka miwili miwili, mitatu mitatu mpaka hata mitano mitano ila renewable! Tukiona tunaendeleza maisha ya amani tuna renew kwa miaka mitano, tukiona mahusiano yanalega lega basi unasitisha mkataba, au unarenew kwa mwezi mmoja kuangalia upepo!
 
kitendo cha huyu shosti wako kumsema mzazi mwenzie vibaya wakati walishatalikiana, inaonyesha hata yeye ni tatizo. Jiulize kaeleza wangapi kuhusu matatizo ya huyo aliyekua mkewe, anataka kuficha nini kwake ili uone mke ndio alikua mbaya. kama amefurahi and he is happy living single, anatangaza ili iweje? naye ni tatizo.
 
Unapokutana na mwanamke na kumpenda na kuamua kuishi nae ......na wote makakubaliana ... UKUMBUKE UMEOA MWANADAMU [HUMAN BEING] HUJAOA MALAIKA [ANGEL] .......hivyo DONT HAVE TOO HIGH POSITIVE EXPECTAIONS .......ELEWA NA NEGATIVE ZITAKUWEPO - na hii ni kwa WOTE [MUME/MKE].

Ndoa ni kuvumiliana, kusameheana, kurekebishana, kupendana na kupeana ...... Kama small negative unaifanya BIG ISSUE - matokeo yake ni DIVORCE .. na inapotokea ......TAFAKARI - WAPI WEWE ULIKOSEA KABLA YA KUMNYOSHEA MWENZIO KIDOLE


True dat at least human tungekua tunajua aim ya marriage sio divorce ndo maana waislam wana talaka tatu na wale wengine wana untill death do us apart,but we are human and whatever we do we will never think and act alike!
 
You are a devel that's why you married a devel. Acha kutuita wanawake wote madevel ni wewe na mkeo. Nenda kwa TB Joshua ukatolewe spiritual wife

thats absolutely sure suzie, how can a devil marry a humani being?
 
maswala ya mahusiano sio ya kusikiliza upande mmoja, inawezekana huyo jamaa nae ana matatizo tena makubwa sana ndio maana ameshindwa kuinusuru ndoa yake, kwa kifupi huwezi kusema mwanamke ndio alikua na matatizo mimi nahisi wote walikua na matatizo si unajua mafahali wawili......
 
Back
Top Bottom