SS, wee mchawi? Ndio nakula sasa hivi.
smiling saint! uwiiiii mi ni mgeni mwenyeji, nimekuja wakati upo kwenye hiyo ban, but nimependa mijizawadi, lolest! urafiki mzuri haswa! karibu tena mwaya! am sure watafurahia.
karibu tena, hawajambo huko utokapo?
katika zawadi zote nimeifagilia ya Cantalisia.