I am a married man, don't you understand....!

I am a married man, don't you understand....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
unhappy-black-woman.jpg


Ilikuwa ni juzi Jumapili nilitoka out na mama Ngina

african-american-girls-drinking-pf.jpg


Hawa warembo wakaanza kunitolea macho, mama Ngina akamaindi

29.jpg


Ikabidi nijitahidi kumuelewesha ili kisije kikanuka nyumbani, nikajieleza weeee somo likaeleweka....

black-women_-club_.gif


Heee.. Si akatokea Madame B na mashoga zake, na kwa kuwa macho hayana pazia nikajikuta nikiwakodolea macho ili kusafisha kiwi cha macho.. Mama wee kikanuka aisee......


 
Last edited by a moderator:
Uroho mbaya Mtambuzi hahaha hata kama ingekuwa mie..lazma nngemind..
Kwa huo mtego wa kimagnetic wa Madame B.. Hata plastic itanasa!!! Lol
 
Last edited by a moderator:
Afu Mtambuzi nshakwambia nina kitu nataka Mama Ngina anieleweshe, so mpe address yangu na umpe manamba yangu yote pulizi. Mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
unhappy-black-woman.jpg


Ilikuwa ni juzi Jumapili nilitoka out na mama Ngina

african-american-girls-drinking-pf.jpg


Hawa warembo wakaanza kunitolea macho, mama Ngina akamaindi

29.jpg


Ikabidi nijitahidi kumuelewesha ili kisije kikanuka nyumbani, nikajieleza weeee somo likaeleweka....

black-women_-club_.gif


Heee.. Si akatokea Madame B na mashoga zake, na kwa kuwa macho hayana pazia nikajikuta nikiwakodolea macho ili kusafisha kiwi cha macho.. Mama wee kikanuka aisee......




Afu siku ile nilikuwa nakupiga jicho la chinichini.
Ila mwambie mama Ngina apunguze wivu.
Wewe ni mfanyabiashara mwenzetu humu Jf.
Mweeeh!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha...eti, "kusafisha kiwi cha macho...lol"

Hapo mlikuwa pamoja..je angekukuta uko na washika sharubu wako....???:nono:

Cc: Raiza na Paloma na Remmy ...sio nyie lakini..:tape2:

"Mary Anne she is just this bad..she thinks am mad,
coz she looks so good, in she mini dress,
but what I have home, is the very best,
coz am a married man don't you understand,
let them tease and realize,
I am a happily married man."
​
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom