I am 42 yeas old and finished

aliyekwambia sijui nani?mtoa mada aliweka wazi kuwa kiswahili kinamsumbua.
NB: JUST STAY AWAY FROM THIS 4 UR OWN GUD

come dowm lin si lazima uwajibu just enjoy and mind your time goodluck
 
Last edited by a moderator:
Hauko mwenyewe. At 40s kuna majaribu mengi na frustration kibao. Do meditation , concentarte on what you started, once the fear is gone you will see a new light.
 

pole badili aina ya gari kama unatumia zinazokula mafuta sana
pia waweza kubadili eneo unaloishi au aina ya nyumba uliyopanga kama unaishi maeneo ambayo nyumba za kupanga ni bei kubwa jaribu maeneo ya pembezoni mwa mji ambako ni cheap kabla hujafika hatua kama ya mwenzio anaelia hapo juu uanze kusave mapemaaaa
 
 
kwanini usiuze hiyo gari yako ili ipatikane pesa ya mtaji ufanye biashara
 
Hii ni shida part twoo ila bora wewe umeamua kujiencourage mwenyewe songambele yana mwisho hayo mkuu
 

matatiz badili kwanza hiyo id yako, siyo nzuri hata kidogo. Pili, naona issue ambazo zinakutatiza umeziendekeza mwenyewe, kuna njia nyingi ya kuziepuka, matumizi makubwa yasiyo ya lazima, mfano waweza kuwa na gari lenye cc chini ya 1500 inatumia mafuta vizuri sana.

Mimi nakaa jet lumo kiwalani, nyumba ninayoishi ina vyumba vitatu vya kulala vikubwa, sitting na dinning room, self contained, gate lenye parking ya kutosha nalipa sh 170,000 mwezi, rafiki yangu anaishi sinza kwenye kikorido na kijichoo na kijisitting room analipa sh 180,000 kwa nyumba hii hii ninayoishi, sinza ingekuwa si chini ya laki saba, sasa hapo kwa choices zako utamlaumu nani.

Vijana tuache kuiga lifestyle ambazo siyo za means zetu, endesha gari lilalokufit, achana na kuiga.
 
Last edited by a moderator:
 

dah wanaume hapo ndo mnaniacha hoi wakati unamsaula saula huyo mdada hukuwa na mpango nae pia

du wadada tuwe makini jamani men are just releasing their tension they don't see us in the near future as per MATATIZ
 
really your finished you went against GODs rule you now reap what you sow not bad just repent and tell JESUS to give a light fungua hata genge uza or uza gari kajenge nyumba ya mbao kijijini,tafuta kashamba panda chakula

Umeelewa kiini cha lalamiko lake?
 

Whats that?
 

Angekuwa ameoa asingekuwa finished hivi.

Ukiwa single unakurupuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…