I am 42 yeas old and finished

.....never give up as long as you still alive...life is always full of suprise.....you never know and no body know....so hold on....
 
I know I can..be what I want to be....if I work hard at it..I will be where I wanna be......
 

Well said mkuu!
 
My friend you are not finished, the devil is a liar always! 42Yrs is not too old to start over, wake up man you have long way to go!! As long as you are still alive you worth millions dollars!!! Make a fresh start ! don't you have faith? HAVE FAITH MAN AND MAKE A FRESH START.
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!
 
Bado usikate tamaa, omba Mungu tu upate muda zaidi wa kuishi, umri ulio nao bado unaweza kupata mafanikio zaidi.

Here is the reason why: we each have a grand plan for our life based on age. It goes something like this:
• In my teens, I’ll get into a good college or get a good job.
• In my early twenties, my career will start to take off.
• By my mid-twenties, I will meet the person of my dreams.
• In my thirties, I will be married and have 2.2 beautiful children.
• In my forties, I’ll be running the company for which I’ve been working.
• In my fifties, I’ll reflect back on my life and my grown children and smile.
• In my sixties, I’ll retire and travel the world.

Kwa hiyo katika umri wa 40 hadi 49, unaweza kuwa na mafanikio. Usikate tamaa.
 
I know I can..be what I want to be....if I work hard at it..I will be where I wanna be......

mistari mifupi imeenda shule!
Tunaitaji vitu kama hivi kutoka bongofleva kutufariji na kutupa moyo tunapokuwa kwenye hali kama ya mkuu, tunapoandaa plan B.
 

unadhani kwa jinsi alivyochanganyikiwa atakuwa analea watoto yeye mwenyewe? Wapo kwa mama zao wanakula bata yeye yupo yupo tu mbele hakuoni numa hapakumbuki
 
eti this world is not fair....ulijisahau na kamaisha flani kalikokupitia...wewe ndo hukuwa fair na dunia...

Lipa ulichokipanda duniani mkuu.. mbinguni kuhesabiwa tu sikuhizi.


Mkuu nina swali juu ya hii comment yako, unawafahamu wahanga walozalishwa na kuachwa na huyu jamaa?

Au wewe ni mmoja wao ila sasa jeraha limepona? Whatever the case, the guy is regretting of all what happened, lets give him moral support ili angalau ayaone maisha katika nuru mpya, asiwe kama Yuda aliyeishia kujitia kitanzi.
 

Wewe binadamu una busara sana.
 
Jamani huku ni jamii forum,soma na angalia wenzio wanavyoandika, mnakosa kazi kwa upuuzi kama huu ..

si lazima nifanane na wengine,na kwa taarifa yako ninajua kipi niandike wapi & am nt a job seeker,kuna mwenye akili zake timamu atatumia kifupisho kwenye offical letter
 
Fear not when, fear not why fear not once you're alive.
Because life is for living....
Mkuu piga moyo konde you still can make it
 

Ahsante ....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…