I ain't your mama

sioni huo wimbo shida yake ni sawa na tulipokuwa zama za staki demu kama enzi hizo ulikuwa ushaanza kwenda bugi hebu nambie ulijiskiaje kudance huo wimbo ilihali na mpenzi ukonae!!haina tofauti na chop my money,duce zote zilipigwa club na watu wakadance hasa vidume wengine wapenzi wao wako nao
 
Ndio maana sikupata shida alipocheza club
 
Bado ww mvulana tena Wa ipumbuli atrist ingekuwa mvulana Wa dar kidogo ungekua na akili ata ya kuvukia barabara za mwendo kasi
Kuwa mvulana hapa Tanzania ni kinyume na sheria? Au ukiwa mvulana huendi peponi.? Au ukiwa mvulana huna haki ya kuwa binadamu?
 
Kuwa mvulana hapa Tanzania ni kinyume na sheria? Au ukiwa mvulana huendi peponi.? Au ukiwa mvulana huna haki ya kuwa binadamu?
Hautaki kuwa na mwanamke(mpenz) mpaka utilize umri Wa kijana
 
We unajistukia.... AU la unataka kumipiga chini ila unatafuta sababu
 
Hee eti unamtuma dukan....kakupikia kakuoshea vyombe kakufulia dukan pia akuendee eeeishhhh sasa wewe wafanya nini....kwenda dukan ni kazi yako....unless km alikuwa na safari ya kwenda dukani ndio umuagize...
 
Mumeo ana kazi....
Umenikumbusha wale wa Beijing... Ukikuta mwanamke mshabiki wa Beijing, nasi juwa eidha hajaolewa au kaachika au ndo inashikiliwa na watoto tu..
 
Ila wanawake mna kazi kweli kweli... Mwingine hataki kumwagiwa ndani... Mwangine hataki kupiga goti, mwingine kakataa kutumwa Dukani, mwingine ndo kasema yeye kuolewa haipo... Yaani FULL VIMBWANGA... wana mambo tofauti tofauti kama walivyo na sura tofauti
 
Nimecheka sana huu uzi kwa Kweli kwanza km Uongo vile ni story tu, Sidhan kama mtu Hamna ugonvi wowote from no whr tu ajiimbie wimbo Alafu apigwe kibuti,Kwan ungemwambia tu baby nakupenda sana ila siupendi huo wimbo pls usiuimbe Tena mbele yangu period, angekuskia Nadhan
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…