Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania

cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
686
962
Jamaa wameshinda bid aisee, Bora Hawa kuliko Chinese
===
Hyundai Rotem has won a 335.4 billion won ($296 million) contract to supply 80 electric multiple units (EMUs) and 17 electric locomotives to the Tanzania Railway Corporation.

The vehicles will be Tanzania's first electric trains and will be supplied by 2024, according to the company Tuesday.

Hyundai Rotem’s electric vehicles will be used on the 546-kilometer (339-mile) railway running from Dar es Salaam to Makutupora, recently reconstructed during the first two phases of the Tanzania standard gauge railway project.

The deal follows the Tanzanian government’s plan to modernize its railroads, investing 7.9 trillion won ($6.9 billion) to replace its old railway system. Tanzania’s rails were narrower than standard gauges, and trains had to be driven at a slow speed of 30 to 40 kilometers per hour.

With new rails, electric locomotives and EMUs supplied by Hyundai Rotem will run at a maximum speed of 160 kilometers per hour.

There are still three more phases left in Tanzania's standard gauge railway project — modernizing the 673 kilometer railway between Makutupora, Tabora, Isaka and Mwanza — and Hyundai Rotem aims to actively participate in future bids to supply more electric trains.

“As our products will be Tanzania’s first electric trains, we will do our best to successfully carry out the contract,” said a spokesperson for Hyundai Rotem. “We will try to obtain additional contracts by supplying high-quality vehicles.”

Source: Korea Joonga Daily
 
Hawa wana uafadhali gani? walewale tu maslah kwanza
 
Wakorea kusini ndio walitupatia fedha ya kujenga salenda bridge kwa hiyo hata sishangai kabisa. Sasa bwana yule alikuwa busy kufukuza wachina kwenye huo mradi wa reli mnaweza kuelewa nyuma yake kulikuwa na nini 🤷

Then unaambiwa reli tunajenga kwa fedha za makusanyo ya Kodi tulizopata miaka hii kadhaa tu plus Daraja na bwawa la umeme, ni heri tungekuwa tunaambiwa ukweli tu maana sasa tukiambiwa ukweli kwamba tunakopa watu wanaanza kulipuka tu bila kujua.

Nothing goes for nothing, mturuki alishashindwa kujenga reli ndio maana vipande vilivyobaki hajapewa hata kuleta mfuko wa sementi.
 
Kwa hiyo 2024 Bi Mdashi ajiandae kwenda hapo bandarini Dar es Salaam kuokota mijidude?

Mwenda alikuwa anatuona sisi na wake zetu na watoto zetu kama vijaragosi vya mchawi Karaba
 
Achana na Hyundai za jeshi, wenye private cars wana enjoy ulaji mzuri wanmafuta na uimara, raha/starehe, stability na vingi vingine. Standards za kimagharibi zaidi
Wanajeshi hawajui kutunza magari, Hyundai ni gari ngumu sana sema sasa train hatujui ipoje maana it's just a brand inatumika kwenye product nyingine, hapo inabidi kutafuta waliowahi kutumia hizo locomotives.
 
Hayo Ni maneno tu.
Mwaka wa ngapi huu reli hata Moro haijafika.
Ikiwa Moro tangu 2017 mpaka 2021 km chini ya Mia mbili bado. Je huko Toronto ?
Naanza kumkumbuka yule engineer aliyesema hii reli itachukua miaka 15 kukamilika.

Hebu tupige hesabu, kwani huu mwaka 2017, April ndio ilianza phase 1 mpaka sasa ni miaka minne na phase 1 hazijulikani lini itakamilika.

Ukipiga hesabu unaweza kuona miaka sio chini ya huo muda inaweza kufika ambapo kuna phase tano (5) ili mradi wa kilomita 1800 na ushehe zikamilike kuunganisha Rwanda na Uganda. Hizi kilometers ni za reli bado barabara za kijinga kwenye mradi (feeders) ambazo jumla unapeleka kilometers zaidi ya 4000.

Kama phase moja mpaka sasa ipo 90 % baada ya miaka minne Ina maana tunakoelekea tutafika 15 years.

I hope hautaishia kuwa white elephant maana pesa tumekopa nyingi sana Magufuli aliaminisha watu hatujakopa Ila ukiisoma mradi mzima aisee kila phase alisaini mikataba ya mikopo kutoka Hadi world bank.

Hayo Ni maneno tu.
Mwaka wa ngapi huu reli hata Moro haijafika.
Ikiwa Moro tangu 2017 mpaka 2021 km chini ya Mia mbili bado. Je huko Toronto ?
 
Nchi Ngumu Sana Yaani Yakuwa Haya Tena Sogeza Mbele Mpaka Huko? Wanaotuangusha Ni Viongozi Hawa Hawa

Walisema Dar es Salaam ~Morogoro Wajiandae Kula Mema
Sasa Hivi Imekwenda Miaka Tele 2024

Huyu Waziri Aliyesema December Aachie Ngazi Haraka
Ujanjaujanja Umerudi Tena Kwa Viongozi
Hivi Kigoma Nadhani Itafika 2060
 
Umeambiwa "by 2024". Mzigo wote uwe umefika ifikapo 2024. Haimaanishi kuwa hatuwezi kuanza kupokea hizo kitu kuanzia mwezi huu.
Tamutam Kama Asali
Kazi Iendelee 😆😅😄😃😂😁😀😀
Ndiyo Ukweli Wenyewe

Nasema Uongo Ndugu Zangu
Wapinzani Walituchelewesha Mno
Halafu Wanatumika Na Mabeberu
 
Wakorea kusini ndio walitupatia fedha ya kujenga salenda bridge kwa hiyo hata sishangai kabisa. Sasa bwana yule alikuwa busy kufukuza wachina kwenye huo mradi wa reli mnaweza kuelewa nyuma yake kulikuwa na nini

Then unaambiwa reli tunajenga kwa fedha za makusanyo ya Kodi tulizopata miaka hii kadhaa tu plus Daraja na bwawa la umeme, ni heri tungekuwa tunaambiwa ukweli tu maana sasa tukiambiwa ukweli kwamba tunakopa watu wanaanza kulipuka tu bila kujua.

Nothing goes for nothing, mturuki alishashindwa kujenga reli ndio maana vipande vilivyobaki hajapewa hata kuleta mfuko wa sementi.
Sijakuelewa mkuu hivi mada ni kuleta Vichwa vya Train/ behewa au Ujenzi wa reli yenyewe? Kipi Hyundai wameshinda bid?
 
Back
Top Bottom