Hysteria ya uongo!

Hysteria ya uongo!

Kama watu walikua wanakufa , wanatekwa na kudhurumiwa haki zao kipindi cha tawala zilizopita. Leo hii yakitokea yaleyale unataka watu wasikemee wakae kimya Sababu sio mageni hayo matendo ?
 
Kama watu walikua wanakufa , wanatekwa na kudhurumiwa haki zao kipindi cha tawala zilizopita. Leo hii yakitokea yaleyale unataka watu wasikemee wakae kimya Sababu sio mageni hayo matendo ?

We kamanda unatakaje kwani?
 
mabaya yote yanasemwa hata tangu awamu ya kwanza ndio maana watu wanaichukia ccm maana ndio wenye awamu zao
 
Oh kwa hiyo huoni, husikii, huwezi tena kunusa eeh?

Pole kamanda.
Tatizo lako kubwa ni chuki kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii dhidi ya CHADEMA na Mange Kimambi kiasi kwamba hata utu umekutoka.

Hivi kujali hata utu tu kunahitaji uwe mshabiki wa siasa ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kuona namna watu wanavyotoweka ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kujua namna wafanyakazi wanavyonyimwa haki zao tena za kawaida tu ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kujua namna TRA na UHAMIAJI wanavyotumika kuwadeal watu wasiopendwa na mtu fulani kweli ?
 
Kiukweli mnasahau sana. Unajua kelele za sheria za mitandao zilianza lini? Unajua hata issue ya bunge live ilianzia kwa Kikwete na kama angekuwa madarakani yangekuwa haya haya ....mikutano ya kisiasa ipo kikatiba na Rais hana mamlaka ya kukataza! Mbona enzi za JK maandamano yalipigwa marufuku lakini bado watu walilazimisha? Tatizo kwasasa CDM haina ushawishi tena wanatafuta visingizio tu! In short naona CCM wanawapa kiki wenyewe ...wangewaacha muandamane tu ....
wapi nimetaja maandamano?
wakati wa jk bunge lilikuwa live
usipige ramli eti yangekuwa haya haya
jk alikuwa mbovu lakini alikuwa anajua kucheza na hisia za watu
alikuwa anakupiga halafu anakuruhusu ulie
sasa hivi unapigwa konzi halafu marufuku kulia
make no mistake,hapa anatafutwa lesser devil
 
Tatizo lako kubwa ni chuki kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii dhidi ya CHADEMA na Mange Kimambi kiasi kwamba hata utu umekutoka.

Hivi kujali hata utu tu kunahitaji uwe mshabiki wa siasa ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kuona namna watu wanavyotoweka ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kujua namna wafanyakazi wanavyonyimwa haki zao tena za kawaida tu ?

Unahitaji kuwa mshabiki wa siasa kujua namna TRA na UHAMIAJI wanavyotumika kuwadeal watu wasiopendwa na mtu fulani kweli ?

Huyo dada simjui hanijui.

Sichukii nisiowajua.
 
Duh!

Umeamua kuwapa ukweli mchungu hawa ''makamanda''

Halafu walivyo wajinga wanadhani balozi za nje zilizoko nchini hazifahamu hiyo historia.

Hata Shehe Ponda alikoswa koswa risasi kule Morogoro baada ya kukaidi agizo la polisi wakati Mwangosi ilimpata ya tumbo! Hata Mzee Kikwete nadhani anawacheka sana.

Morogoro kuna mauwaji yalifanyika kwenye maandamano.
 
Duh!

Umeamua kuwapa ukweli mchungu hawa ''makamanda'' ujinga na upumbavu!

Halafu walivyo wajinga wanadhani balozi za nje zilizoko nchini hazifahamu hiyo historia.

Hata Shehe Ponda alikoswa koswa risasi kule Morogoro baada ya kukaidi agizo la polisi wakati Mwangosi ilimpata ya tumbo! Hata Mzee Kikwete nadhani anawacheka sana.

Morogoro kuna mauwaji yalifanyika kwenye maandamano.
Hawa makamanda uchwara wakibinywa na afande Muroto wanakuwa wapolee. Wanabakia kusema oh nisamehe afande, siku hiyo (26/4) mimi nitalala na nitajifungia ndani sitakwenda popote pale. Wanafurahisha sana.
 
Umetoa mifano ya:-
1. Maji ya upupu
2. Akina Ulimboka kupigwa
3. Akina Kubenea kumwagiwa tindikali

Ukitafakari hiyo mifano inaonesha wazi wahusika walitaka tu kutia adabu victims or else, kama walikuwa na uwezo kumteka mtu na kumpeleka Magwepande kisha kumpa kichapo cha mbwa mwizi na kumwacha basi walikuwa na uwezo wa kuua kabisa lakini hawakufanya hivyo!

NOW compare na uknown whereabouts za Ben Saanane ambae anahisiwa ameuawa! Na hayo yalitokea baada ya kuanza kumsimanga mheshimiwa!

Compare na unknown whereabouts za mwandishi wa Mwananchi huku nae ikihisiwa ameuawa!

Aidha hayo yametokea mara baada ya kuanza uchunguzi wa kinachoendelea Kibiti baada ya tetesi kuibuka kwamba polisi wamekuwa wakiendesha uovu dhidi ya wananchi wakati wakisaka wanaodhaniwa "magaidi"

Pia linganisha risasi kadhaa alizoshindiliwa Tundu Lissu ambazo hakuna shaka hata kidogo wahusika walikusudia kumuua hapo hapo!!

Hivi pamoja na yote hayo bado unapata ujasiri sawa na ule ambao anao Mzee Mwanakijiji huku mara kwa mara akirudia kusema yanayotokea si mapya!

Hivi ni kweli nyie watu hamfahamu tofauti kati ya kuua or intention to kill the opponents na kuwatisha opponents physically?!

Eti ROMA Mkatoliki nae anaingia kwenye kundi la wanaostahili kupewa physical threat lakini bado huoni tatizo?!

Btw, ume-conclude kwamba "hao watu" sio wanaichukia CCM bali wanamchukia zaidi Magufuli kuliko CCM!!

What about you?! Ni kwamba unaipenda serikali ya Magufuli na CCM yake au unampenda zaidi Magufuli kuliko unavyoipenda CCM na serikali yake?!
 
Agenda KUU YA CHADEMA ILIKUWA UFISADI.. sasa wamegeuka AGENDA KUU NI KUTETEA MAFISADI NA MAANDAMANO.. eg waliwatetea sana ACACIA..!!

CHADEMA ni liability sasa hv kwa wananchi..!!
 
Agenda KUU YA CHADEMA ILIKUWA UFISADI.. sasa wamegeuka AGENDA KUU NI KUTETEA MAFISADI NA MAANDAMANO.. eg waliwatetea sana ACACIA..!!

CHADEMA ni liability sasa hv kwa wananchi..!!

Tatizo CHADEMA hawana tena core beliefs!
 
Na huu ndio mtego mkubwa kwa upinzani; kwa mfano.. wwengi wamesahau kabisa kuwa mauaji, utekaji nyara na unyanyasaji wa upinzani umekuwepo tangu Mkapa... wamesahau kabisa kuwa walinyanyaswa Bungeni tangu enzi za Sitta; sasa leo wanajenga imani kabisa kuwa ati akitoka Magufuli au akiingia Rais mwingine mambo yatakuwa tofauti... huu ni mtego ambao ni mgumu kujinasua.. Magufuli anaweza kuwa anaungwa mkono na wananchi wengi wa kawaida kuliko Mkapa au Kikwete... combined..
 
Wewe na Nyani Ngabu sijui mnatetea nini?! Kwamba haya mateso na mauaji kwa wapinzani ni haki yao na wasipige kelele kuitaka Tz bora na ya ki democracy ??!! Au mnamtetea huyu bhuana dhidi ya wapinzani wake kwa sababu hastahili kupingwa kwa hoja yoyote ?! WaTz wote wakishakuwa na mawazo kama yenu, hiyo Tz ya kesho itakuwaje kwa wajukuu zenu?!

Tuwe na uongozi unaoweza kuelezwa mapungufu yaliopo!! Yawe ya kutengenezwa au ya asili, tukiwa na miungu watu malengo ya taifa, kuwa na nchi bora na ya mfano Africa hayawezi kutimia .
Na mabaya yaliotokea awamu ya 1,2,3 na 4 hayatakiwi kuendelezwa kwa kigezo cha Mbona na huko nyuma yalitokea!!!! Natamani tungekuwa na nchi huru kwa watu wote watawala na watawaliwa. Siyo hii ya kumkosoa bwana mkubwa ni tiketi ya kuzimu

Zamani tukizinyooshea kidole mataifa yaliokuwa yakinyanyasa raia wao, leo tunaweza kumkosoa nani hapa Africa?! Kwani mitihani iliwashinda kina Gbagbo, Jahme, Nkurunzinza nk ndiyo yaliotushinda Zanzibar na hata huku bara.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyie watu mnaokaa utumwani, sijui uhamishoni mnaona raha sana ku comment kwenye mambo yanayotokea kwenye nchi ambazo mlishazisaliti tayari. Sijui uchungu huo mnautoa wapi!? ndo maana haishangazi kukuta unaandika pumba kama hii ili mradi upate attention kwamba na wewe upo, ingawaje una stress za kukaaa huko ukimbizini. Nyambaff sana..
 
Back
Top Bottom