King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,644
- 68,598
Sawa Mkuu natumia carry kusambaza mkaa.We
weka diesel tu
Sawa Mkuu natumia carry kusambaza mkaa.We
weka diesel tu
Shida hapa jukwaani kuna wengine wanaongea kwakusoma but mm naongea kama fundi ambaye nishawahi kutana na gari hizo .asilimia 80 ya garizinazo kuja bongo hazina PLUG IN mfumo wakujichaji wenyewe..na gari ikiisha chaji ndio msiba huanzia hapo coz kuchaji nimtihani .hapa tanzania hakuna chaji TOYOTA hawana chaji ya plug in au chaji ya kuchajia betri.Mkuu kwani hizi hybrid zinatumia umeme pekee? Vipi hazina mfumo wa kujicharge zenyewe?
No hapana.hapa inatakiwa kufaham hizi gari zipo za aina mbili zinazotumia umeme tuuu. Na zipo zinazotumia umeme na mafuta.Si ukiuziwa wanakupa charge pia kma cm
Ungepigwa vita na wenye vituo vya kuuza mafuta mpk ungeshangaa boss.Kwa tanzania mm ningekuwa na pesa ningeanzisha Kampun ya usafirishaji like uber na kutengeneza vituko kadhaa vyakuchaji hapa mjini na workshop yakuzitengeneza ..bei inakuwa chee.
Kwangu ndogo sana hizo labda niwe naipaki sehemu kisha nizunguke na piki piki.
500km hapo safi sana kwa single chaji,ni nzuri sana kwa matumizi.Kuna gari kama model S100d ina uwezo wa kutembea hadi miles 335 (539 km) on a single charge. So kama charging system zikiwepo ni gari nzuri sana.
umenisaidia kujibu mkuu,naona watu wanachanganya hbr tu bila kuelewahybrid huwa zinajichaji zenyewe ni tofauti na EV so ikiwa down ita sense then engine itawaka hata ukiwa na speed ndogo
gari gani mlifungua hiyo and inatumia battery za zaina gani??Shida hapa jukwaani kuna wengine wanaongea kwakusoma but mm naongea kama fundi ambaye nishawahi kutana na gari hizo .asilimia 80 ya garizinazo kuja bongo hazina PLUG IN mfumo wakujichaji wenyewe..na gari ikiisha chaji ndio msiba huanzia hapo coz kuchaji nimtihani .hapa tanzania hakuna chaji TOYOTA hawana chaji ya plug in au chaji ya kuchajia betri.
Gari inakuwa na plate 30 sawa na betri 30.plate/pack nisawa. Na betri.1 kila betri/pack 1 ina volt 9.2 fanya mara 30..umeme huo niwa betri pekee yake bado unaingia kwenye converter na kukuzwa tena then ndio utumike. Yaani bora ukaguza umeme watanesco lkn sio huo.
Kibaya ni kuwa gari kuwaka lazima utumie mfumo wa high voltage..
Tofauti kubwa ipo kwenye gearbox tuu basi lkn engine ndio zilezile sema kwenye engine kuna vitu kama v3 hivi ndio huwa tofauti..coz huwa tukiibadili. Gari ya HV kuwa ya kawaida huwa unatumia engine ile ile but unabadili front cover pulley ya crankshaft unafunga alternate compressor starter flywheel basi na sterling power..
Kama mtu anahitaji gearbox ipo ya HV betri zipo motor ya nyuma.n.k
Aisee hio ndinga safi sana. Sema bei yake haishikikiKuna gari kama model S100d ina uwezo wa kutembea hadi miles 335 (539 km) on a single charge. So kama charging system zikiwepo ni gari nzuri sana.
Yeah, bei yake ni shida. Ila kama mkwanja upo ni ndinga ya ukweli. Uzuri unaweza kucharge kwenye hizi socket za kawaida. Misele ya kutosha.Aisee hio ndinga safi sana. Sema bei yake haishikiki
Si kweli, sio hybrid zote zinajicharge zenyewe, ni zile tu ambazo ni Plug in hybrid, lakini normal hybrid lazima ukazicharge kwenye vituo vya kuchajia.hybrid huwa zinajichaji zenyewe ni tofauti na EV so ikiwa down ita sense then engine itawaka hata ukiwa na speed ndogo
Si kweli, sio hybrid zote zinajicharge zenyewe, ni zile tu ambazo ni Plug in hybrid, lakini normal hybrid lazima ukazicharge kwenye vituo vya kuchajia.