elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
nijuze wadau
Kompyuta inakuwa na kitu kinaitwa 'processor' Kiswahili "kichakata". Hapo kabla laptot nyingi zilikuwa na mf "Intel Core, Pentium M, nk" Hayo ni majina "brand names" yanayotambulisha processor inayotumiwa na kompyuta yako.
i3 na i5 ni line mpya ya processors kutoka kwa Intel, zilianza kutumika 2010.Processor hizi kwa kawaida zinatumika kwenye x86 architecture machines.
- i3 ni low-end performance processor inakuja na integrated GPU na ina core mbili.
- i5 ina sifa ambao zinakaribia kulandana na za i3.
- i7 hii ni kwa ajili ya x64 architecture machine na pia maalum kwa high-end consumers
Kama FaizaFoxy.
Kusema unazo core 6 na cache ya hadi 12MB...
Intel(R) Core(TM) i7-2630QM CPU @ 2.00GHz (CPU:0) |