emma115
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 135
- 167
Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku
Kama ulivyoweza kusoma kicha hapo juu, leo nitaenda kukujuza maujanja ambayo inawezekana ulikuwa hujui kuhusu laptop. Maujanja haya yatakusaidia sana pale unapotaka kununua laptop hasa hapa nchini Tanzania.
Ukweli ni kwamba nguvu ya laptop ipo kwenye processor, hata kama laptop ina RAM kubwa kiasi gani, au Hard Disk au SSD kubwa kiasi gani, kama laptop haina processor bora ni wazi kuwa bado itashindwa kufanya kazi vizuri.
Sasa katika swala zima la uwezo wa processor hapa ndipo herufi hizi “Y-U-H” zinapokuja kwenye matumizi.
Herufi kwenye Processor
Kama unataka kununua laptop na umeingia kwenye tovuti husika na kuangalia aina ya proceesor unaweza kukuta sifa ya processor imeandikwa hivi, Intel Core i7-8700K.
Sasa kwa mfano kwenye sifa hizi Intel Core i7-8700K unaweza kuona herufi ya mwisho kwenye processor hii ni U, yaani Intel Core i7-8700K. Sasa herufi hii ndio inayo onyesha aina ya laptop na unayotaka kununua pamoja na uwezo wake wa processor