Naomba ufafanuzi kuhusu hii Laptop

Naomba ufafanuzi kuhusu hii Laptop

Latvia

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
629
Reaction score
4,516
Nahitaji kununua Laptop sehemu, tangazo linaonesha Laptop ni Core i5 lakini processor speed ni 1 GHZ, nawauliza why processor Ipo chini sana wanajibu hizo ni processor mpya na anzia hapo hawajibu tena maswali yangu.

Inakuwa vipi Core i5 Ina speed ya 1GHZ? Naomba kueleweshwa maana mimi sio mtaalam wa haya mambo.

Ahsante.

Chief-Mkwawa
 
1. Ni computer ya aina gani?
2. Jina la hio i5 ni lipi? 1035G1?
3. Kwa bei kiasi gani?
 
1/ Aina: Lenovo
2/ Jina ni 1035GI kama ulivyoandika.
3/ Bei: 1,399,000/=
Ni cpu nzuri na bei pia si mbaya sana, I hope ni mpya kama ni used bei si nzuri.

Hio 1ghz ni base clock ina turbo mpaka 3.6ghz.
 
Nahitaji kununua laptop sehemu, tangazo linaonesha laptop ni Core i5 lakini processor speed ni 1 GHZ, nawauliza why processor Ipo chini sana wanajibu hizo ni processor mpya na anzia hapo hawajibu tena maswali yangu.

Inakuwa vipi Core i5 Ina speed ya 1GHZ? Naomba kueleweshwa maana me sio mtaalam wa haya mambo.
Ahsante.

Chief-Mkwawa
Nimekuheshimu sana na kukupenda sana hapo ulipomwita Chief-Mkwawa!😄😄😄
 
Ni cpu nzuri na bei pia si mbaya sana, I hope ni mpya kama ni used bei si nzuri.

Hio 1ghz ni base clock ina turbo mpaka 3.6ghz.
Hivi mkuu kuna jinsi ya kuwasha turbo au huwa inajiwasha yenyewe automatic kulingana na task load?
 
Ni automatic, kifupi
Base clock ni Guarantee
Turbo clock Inategemea na cooling ya laptop husika.

Kama laptop ina cooling nzuri inaweza ku sustain hio 3.6 ghz kwa muda wote, Sababu ikipata Joto inapozwa hivyo haishuki.

Kama cooling sio nzuri itafika hio 3.6ghz ikipata Joto itakua inacheza cheza between clock za katikati baina ya 1ghz na 3.6ghz.
 
Ni cpu nzuri na bei pia si mbaya sana, I hope ni mpya kama ni used bei si nzuri.

Hio 1ghz ni base clock ina turbo mpaka 3.6ghz.
Yaah ni brand new laptop.
Je brand ya Lenovo ni nzuri au nitafute kina HP and the like?

Thanks sana.
 
Kwenye pc brand si lazima sana ikiwa Lenovo, Hp, dell etc Haijalishi. Cha muhimu ni specs za ndani.

Pia usisahau warranty ya maandishi, kitu kibovu huwa unakijua mapema tu, Ukiona umetumia miezi kadhaa haijasumbua kuna uwezekano mkubwa ikawa ni nzuri na ukatumia miaka mingi.
 
Chife mkwawa naomba kuelimishwa kwenye iki kitu naomba unichambulie hii kitu: "Processor Intel (R) Core(MT) i5-8265U CPU @ 1.60GHz 1.80GHz" Naomba uchambuzi wa iyo processor ili ata nikikutana na zingine zote nielewe kiwepesi mkuu.
 
Ahsante sana Chief.
 
Ni automatic, kifupi
Base clock ni Guarantee
Turbo clock Inategemea na cooling ya laptop husika.

Kama laptop ina cooling nzuri inaweza ku sustain hio 3.6 ghz kwa muda wote, Sababu ikipata Joto inapozwa hivyo haishuki.

Kama cooling sio nzuri itafika hio 3.6ghz ikipata Joto itakua inacheza cheza between clock za katikati baina ya 1ghz na 3.6ghz.
Hivi mkuu processor ya simu huwa inapooshwa na kitu gani?
 
Chife mkwawa naomba kuelimishwa kwenye iki kitu naomba unichambulie hii kitu: "Processor Intel (R) Core(MT) i5-8265U CPU @ 1.60GHz 1.80GHz" Naomba uchambuzi wa iyo processor ili ata nikikutana na zingine zote nielewe kiwepesi mkuu.
Natafuta sana PC ya namna hii.Ni PC nzuri sana kwa matumizi ya kawaida inayobalance kati ya gharama ya kuinunua,nguvu ya PC pamoja na matumizi ya umeme.
 
Chife mkwawa naomba kuelimishwa kwenye iki kitu naomba unichambulie hii kitu: "Processor Intel (R) Core(MT) i5-8265U CPU @ 1.60GHz 1.80GHz" Naomba uchambuzi wa iyo processor ili ata nikikutana na zingine zote nielewe kiwepesi mkuu.
Angalizo pia Dar Kuna Maduka yanauza Fake HP,Lenovo,Dell Computers!Niliwai siku moja nunua Brand New Laptop HP ikiwa ndani ya Box na ina vyote vinavyoonyesha kuwa ni new HP Laptop lakini ubora wa Cover lake ulinitia mashaka...na baada ya kuiwasha na kurun some test nikastuka nikawarudishia waligoma lisaa hivi mwishowe wakanirudishia hela yangu nikaenda Kariakoo kwa wasomali nikavuta Used moja matata maisha yakaendelea. So mleta Uzi hakikisha kama kweli hiyo Lenovo ni Lenovo kweli au ni fake
 
bado haujatolea ufafanuzi swali langu mkuu.
 
Nitatumia mbinu gani kujua fake/original laptop?
Mimi sio mtaalamu wa haya mambo.

Nataka nunua kwa hawa jamaa: Omni computers. Una habari zao zozote?
 
Omn ndio,ni jamaa zangu nanunuaga hapo most of my IT hardware Kwa sasa.kiasi kwamba nna my special price pale kila nnapoenda nunua kitu chochote cha IT,Mmiliki wake tumezoeana kama kaka na Dada,wana Bidha bora na Original pia. Na Bei ni rahisi pia.
 
Be blessed.
 
Chife mkwawa naomba kuelimishwa kwenye iki kitu naomba unichambulie hii kitu: "Processor Intel (R) Core(MT) i5-8265U CPU @ 1.60GHz 1.80GHz" Naomba uchambuzi wa iyo processor ili ata nikikutana na zingine zote nielewe kiwepesi mkuu.
Hii ni gen ya 8 ina core 4 na thread 8, uki Google site ya intel unapata maelezo zaidi. Wewe specific ulitaka nini?
 
Back
Top Bottom