Mvuvi 1:Ulipotupa ndoano,ulimnasa samaki mkubwa,ukamnasua,ukamrudisha majini.Ukampata wa saizi ya kati naye ukamrudisha majini,lakini umemnasa huyu mdogo ndo umeridhika umemchukua,why? Mvuvi 2:We chizi nini,samaki mkubwa wa nini kwangu wakati sina frying pan(kikaangio) kikubwa!