Huyu yupo serious, kina kaka mnaotafuta

Huyu yupo serious, kina kaka mnaotafuta

mtoe taarifa akipatikana.
ingawa hivyo ujumbe wa namna hii siku nyingine kataa.
 
tuko busy na maoni ya katiba bana ..haya mambo tunayaweka pending kwanza
 
Mbona namba ni ya mwanaume hii!!
Mdada ana 31yrs anatafuta mwenzie wa kuwa nae kwa shida na raha.
Dini: Mkristo
Elimu: Graduate
Kazi: Biashara/mwajiriwa
Makazi: Dar
Kilevi: Hatumii T(Ukitumia kiasi si kero kwake)
Sifa za ziada
Hajawahi kuolewa,hana mtoto
Anapenda kusafiri,kusoma vitabu na kujumuika ktk shughuli mbalimbali za kijamii.
Sifa za mwanaume anaemtaka:
Mkweli ,anaejituma na mwenye akili ya maisha.
Awe hajaoa (kama ana mtoto litajadiliwa)
Mwenye nia ampigie kwenye
0768 43 27 58
MUHIMU:
Mimi ni mjumbe tu nimetoa maelezo kwa ombi lake mwenyewe sihusiki kwa lolote watakalokubaliana na sihitaji kutumiwa PM wala Email,
Kama kuna swali liwekwe hapa nitajibu akishaliona.
Nawasilisha
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuu! katiba iseme wanawake wapewe nafasi ya kutongoza live.........................
 
Von Mo;]duuuuuuuuuuuuuuuuuuu! katiba iseme wanawake wapewe nafasi ya kutongoza live.........................[/QUOTE]

kwani wanakatazwa bhana?
 
tuko busy na maoni ya katiba bana ..haya mambo tunayaweka pending kwanza

Yaya Toure utakuwa umekosea jukwaa. Hii mada hapa ndio haswa inapotakiwa kuwepo. Mambo ya katiba yanajadiliwa kwenye jukwaa la siasa wanakotoana ngeu kwa mineno mikali.
 
dah mbona nimewasiliana nae anaepokea simu ni njemba?

Nyie watu nyie! Ha ha haaa
 
Avute subira atapata. Hili la kwamba simu inapokelewa na njemba limekaaje?
 
Avute subira atapata. Hili la kwamba simu inapokelewa na njemba limekaaje?

Sio kweli, hata mimi nilishtuka nikadhani nimekosea namba ya watu.
Kanihalkikishia ni yake na nimejaribu kumpigia nilikua naye hapa.
 
Back
Top Bottom