amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
Ur out of competition
Ngoja nijaribu bahati yangu lol!
Ngoja nijaribu bahati yangu lol!
Ur out of competition
Hii namba mbona haiko hewani?Mdada ana 31yrs anatafuta mwenzie wa kuwa nae kwa shida na raha.
Dini: Mkristo
Elimu: Graduate
Kazi: Biashara/mwajiriwa
Makazi: Dar
Kilevi: Hatumii T(Ukitumia kiasi si kero kwake)
Sifa za ziada
Hajawahi kuolewa,hana mtoto
Anapenda kusafiri,kusoma vitabu na kujumuika ktk shughuli mbalimbali za kijamii.
Sifa za mwanaume anaemtaka:
Mkweli ,anaejituma na mwenye akili ya maisha.
Awe hajaoa (kama ana mtoto litajadiliwa)
Mwenye nia ampigie kwenye
0768 43 27 58
MUHIMU:
Mimi ni mjumbe tu nimetoa maelezo kwa ombi lake mwenyewe sihusiki kwa lolote watakalokubaliana na sihitaji kutumiwa PM wala Email,
Kama kuna swali liwekwe hapa nitajibu akishaliona.
Nawasilisha