Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.