Carseloi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 317
- 108
Mimba icje ikatoka ghafla mkuu
teh teh teh, mkuu umepigwa marufuku ya kuingia kunako bafu??!! Kama vipi fanya mazoezi ya kukimbia halafu ile fulana utakayovaa ndio uwe unavaa ukitoka kazini na uwe unamuachia hiyo atatulia tu.