Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,493
- 9,261
Wakuu mbona tunafikiri katika angle chache sana mi nawaza kuwa huyo jamaa pengine katumwa kupima uimara wa huo team ili assement ifanyike
Alistahili kupigwa makofi huyo!Alikuwa anatoka wapi huyo ama alitaka kumuomba mama Samia hela ya kubrushia viatu
Hukuwepo hapo Black Sniper?
Inaonesha wazi head wa security ya Mama hayuko makini, kwa kumbukumbu zangu ile security team ya Hayati Magufuli ilikuwa smart, makini na yenye umakini wa hali ya juu tofouti na hii security team ya mama.Kwako mkuu wa PSU angalia vijana wako
Unaweza ukawa sahihi...lakini unajuaje Kama siyo mmoja wa walinzi wa Rais? Uniform ya traffic siyo issueKuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter, Je kitendo cha huyo Traffic kumkaribia Rais namna hiyo sio Security Breach?
Ukiangalia kwa umakini alikaribia mno tena kupita nyuma ya hao Walinzi wenye silaha nje nje, kwa akili zangu za kawaida naona hatari maana kama mtu mbaya na mwenye mafunzo anapita karibu hivyo anaweza kuwapokonya hao akafanya fujo
Lakini pia baada ya kuambiwa huku usipite pita huko akamgusa huyu afisa mmoja kiunoni kwa nyuma kiasi anaweza kugusa silaha iliyofichwa mfukoni.
Na kuonesha kuwa halikuwa jambo la kawaida, amevuta attention ya karibu wana usalama wanne mpaka watano mpaka waliokuwa karibu kabisa na Rais, kiasi wamegeuka na kumtizama kwa sekunde kadhaa wakati anaondoka, hata huyo Kamanda aliyepigiwa saluti hajamuelewa kabisa huyo askari kamuangalia kwa mashaka.
Hiyo haiwezi kuitwa Security Breach au ni kawaida tu
View attachment 1846143[/SIZE]
😂😂😂😂“His Excellency, President for Life, Field, phd Doctor , VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Tanzania in Particular.”Ingekuwa enzi za nduli Fashisti angepigwa shaba hapohapo
Bora ya Magereza wapo sharp hao wamepoa kama Green Guard vileInaonesha wazi head wa security ya Mama hayuko makini, kwa kumbukumbu zangu ile security team ya Hayati Magufuli ilikuwa smart, makini na yenye umakini wa hali ya juu tofouti na hii security team ya mama.
Hii security team ya mama wapo kama sio zao la PSU, wapo wapo tu kama vile wameokotezwa kutoka kwenye kambi za magereza, inabidi team nzima ibadilike kiutendaji itambue ni nani hasa wanamlinda.
Na bomu kabisa lingebotuliwa pale akauwa watu wote.Ingekuwa enzi za nduli Fashisti angepigwa shaba hapohapo
Kama katumwa basi sasa wajue kuwa ile team sio imara bado kuna loopholes nyingi sanaWakuu mbona tunafikiri katika angle chache sana mi nawaza kuwa huyo jamaa pengine katumwa kupima uimara wa huo team ili assement ifanyike
Dogo upo poa??Kwa nilivyoona ile clip uyo traffic ni tapeli na muigizaji
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda sasa wengi wao wamechoka, wamepauka kuanzia vimo hadi mionekano, ulinzi wa makamu wa raisi naona upo bora zaidi tofouti na wa mama.Bora ya Magereza wapo sharp hao wamepoa kama Green Guard vile
Snipers ndio hao hao waliosimama na mitutu, inafikirisha Traffic officer alifikaje eneo hilo la ulinzi?.Nimeshtuka sana kuona jamaa anapita hivyo kama kibaka alietoka kufukuzwa huku anazuga mbele ya watu
Kweli hata kama kavaa kipolisi ndio usalama wamuache hivyo na kumuelekeza pa kupita
Je kama magwanda amevaa tu na sio traffic officer? Na dhamira ilikuwa kumdhuru Rais
Najua hapo ingeingia kazi ya Snipers tu tena ana bahati angejikuna tako tu Sniper wasingesubiri
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda sasa wengi wao wamechoka, wamepauka kuanzia vimo hadi mionekano, ulinzi wa makamu wa raisi naona upo bora zaidi tofouti na wa mama.
Mkuu wa kambi aangalie namna ya kuleta wanaume wa kazi aachane na hawa watu wafupiwafupi tena wengi wao naona wapo frontier kabisa, kitu ambacho sio sahihi pia wazee wamezidi kwenye team yake ajifunze kwa nchi za wenzetu sifa za walinzi zipoje
Nipo umenitenga broDogo upo poa??
Maumbile na kimo ni muhimu sana, fuatilia trend ya Zao la PSU la kwanza watu wote walikuwa na miili mikubwa mno, so kigezo cha kwanza cha kuwa mlinzi ni kimo na umbo...usiangalie jinsia, sura, maumbile, au kimo.