Hawa wanazaidi ya sifa huwa wanasoma kilomita unazotembea wanakula vichwa sana kwa madereva wa mabasi mikoani,njia ya kwenda Mwanza ndo wapo wengi sana
Hii ndio inatakiwa watu wajifunze kutii sheria bila shuruti, kuna kale kamtindo tukiona traffic ana tochi tunaanza kuwashiana taa. kwa njia hii mtu akiona tu kibao lazima afuate sheria. Hii ndo njia pekee ya kupunguza ajali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.