Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
- Thread starter
- #101
Huku vichakani watakuja kutulambia wake zetu tu ambao ni Askari pia. Kwa mfano kile kikoi alichotandika pale, katoka nacho kweli nyumbani au ni cha traffic mwenzie? Maana pale kando kuna pochi pia ya Kike. Traffic wawili wa jinsia mbili kichakani eti wanakamata Magari...Hahahahaha shetani yupo.mkuu kama umebahatika kupita Kilwa road unaenda mkuranga huko hawa jamaa ndivyo wanavyofanya. Wanajificha kwenye vichaka au wanakaa kilimani wanakupiga tochi halafu wanawasiliana na wale walioko pale mzani mkuranga ukifika hapo unakuta wameshakuandikia na risiti ukibisha wanakwambia turudi mahali uone kwenye kamera Tanzania kuna maajabu.