Huyu Traffic hajipendi, aache Sifa!!

Huyu Traffic hajipendi, aache Sifa!!

Hii mitindo ya kukupiga picha na kuwatumia wenzake mbele huwa mara nyingi inakosa uthibitisho kabisa, mimi huwa nauliza una uthibitisho gani zaidi ya picha kuwa nimepita kwenye speed limit wakati picha haionyeshi alama yeyote, naomba ambaye ameshapelekwa mahakamani atoe ushuhuda hakimu aliamua vipi kwa ushahidi wa picha peke yake
Inabidi madereva kuanzia sas pia tuhoji ionekane kwa pamoja picha ya Speed Limit na gari. Kwa sababu huko barabara kuu dhuluma ni nyingi mno. Ili mtu apewe adhabu kwa kosa alilofanya, inatakiwa iwe clear kila mmoja aone gari, speed na Kibao cha speed limit kwenye picha. Kwa mazingira kama hayo ya jamaa kujificha inaonyesha ni kuviziana katika utendaji. Its too shame
 
Anakaa chakani unasikia hiyooo kamataaaa hiyooo sasa unajiuliza kwann ukae chakani inatakiwa utoe elim
 
Naona yuko na Tochi hapo. Hii barabara itakua ni ya Singida- Dodoma ndio imejaa tochi.
 
Inaonyesha gari na speed unayotembea nayo muda huo, mwenye picha ya lile basi liliopata ajali miezi michache iliyopita anaweza kuiweka hapa. lilikua liko 120km/hr na muda mchache baadae ndio waligongana uso kwa uso na mwenzie
Sasa walizuia nini hapo kama walipiga picha na bado ajali ikatokea? Ama ilitokea kabla gari haijafika kwa askari mwingine(alietumiwa picha) ili aikamate!
 
Huyu ni Askari wa Usalama Barabarani (sio lazima awe wa Tz) hapo amejificha anatafuta wavunja sheria. Nikajiuliza tu, nyoka akimgonga hapo itakuaje? Hizi sasa sifa! View attachment 425532
Tanga, hapo sio kuwa ana uzalendo wa kufanya kazi, hapana ni mfuko, njaa yake, wake ! Ukimwambia kuwa akae huko halafu picha zirushwe automatically to central traffic offense analysis centre na mwenye kosa awe debited kwenye mshahara wake unadhani atahatarisha maisha vichakani?
 
Mkuu umeleta wazo jipya kabisa. Hawa watu wanatakiwa mfumo uwe connected hadi makao makuu. Sema tu nchi yetu changa, nchi za watu CCTV Camera itakumulika na mwisho wa mwez unachukua bill yako. Hizo zimefungwa barabara zote, tena hadi zile zinazounganisha Jimbo na jimbo yaani highway, kote kuna Camera
 
Nimeiona Japan that system. hela inakatwa kwenye mshahara na maelezo ya kosa.
 
Back
Top Bottom