hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo.Ndio maana wengi vimbaumbau!
itakuwa poa sana,mana mie ni mkulima,mtumiaji na mpenzi wa hio kituNitakualika kwenye mada yangu ya mmea baadae