Huyu sio yule wa shughuli

Huyu sio yule wa shughuli

Mshana Jr, kumbe na wewe unalima hayo majani!... 😀😀😀
😀😀😀😀😀
Shamba langu ila mimea na mfugo sio vyangu
IMG-20180810-WA0109.jpg
 
Ah! Mkuu usiogope. Hilo jani (Cannabis sativa) ni sawa na majani au mimea mengine tu ambayo mbuzi anaweza kuyala na hata wewe ukitafuna hakuna shida; ILA au ISIPOKUA likifanyiwa mchakato fulani (usindikaji) hata huyo mbuzi hatopenda kulila. Siku za nyuma mmea huo pale Mafinga (Iringa) na hata kule Makete - tuseme ukanda wote wa nyanda za juu kusini mmea huo ulikuwa unaoteshwa shambani au kwenye makazi ya watu bila shida yoyote na watu walikuwa wanatumia mbegu zake kama kiungo kwenye mboga za majani e.g.majani ya maboga (Khatoliki) au majani ya maharage (Nyanguchula) au mkalifya n.k. kama inavyokuwa kwa karanga. i.e unazitwanga ,unachekecha na unga huo ndo unatumika. Lakini baada ya watu kuanza kuyafanyia uchakataji/usindikaji lo! Matumizi yake ni haramu kabisa- halifai. Siku hizi ukidakwa umeotesha mmea huo inakuwa ni shughuli- huenda miaka 7 ikakuhusu.
 
MZEE wa Kaunda Suti na raba mtoni akimuona huyo mbuzi utaaikia namuagiza IGP kufika SAA kumi na mbili huyo mbuzi awe amepatikana na apelekwe Arusha kwa mahojiano na uhakikishe anamtaja mwenye shamba.
 
mbegu zake nzuri sana kwa malisho ya mifugo aina jamii ya ndege
 
MZEE wa Kaunda Suti na raba mtoni akimuona huyo mbuzi utaaikia namuagiza IGP kufika SAA kumi na mbili huyo mbuzi awe amepatikana na apelekwe Arusha kwa mahojiano na uhakikishe anamtaja mwenye shamba.
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom