msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
huna haja ya kumtenda mkuu,hawa huwa wanahitaji kumbatio la maana,na pia ni sehemu salama ya kujishikiza
poa kk ngoja nione ninavyoweza kumfanyia bongo movie kakahuna haja ya kumtenda mkuu,hawa huwa wanahitaji kumbatio la maana,na pia ni sehemu salama ya kujishikiza
ni kweli mkuu,kwanza unakuta tayari anakwake we ukienda unabonyea tu,kikubwa ukiwa unaenda uwe unaenda na vijizawadi vya mtoto wake na ujenge urafiki na mtoto wake hapo utakuwa umemaliza kazi.poa kk ngoja nione ninavyoweza kumfanyia bongo movie kaka
poa poa kaka. Hua ananiambia njoo nitembelee home sema ndo namzuga bdo ngoja niende week hii kabsaani kweli mkuu,kwanza unakuta tayari anakwake we ukienda unabonyea tu,kikubwa ukiwa unaenda uwe unaenda na vijizawadi vya mtoto wake na ujenge urafiki na mtoto wake hapo utakuwa umemaliza kazi.
aaaaaaaaaah nenda mkuu ila uende na zana kabisa maana hapo kuna game usilaze damupoa poa kaka. Hua ananiambia njoo nitembelee home sema ndo namzuga bdo ngoja niende week hii kabsaa
Mr Smart siombi ushaur kiivyo but hapa kuna funzo kwa wadada kua wasipende kua single mums watatumia energy kubwa kupata sehem ya kupumzishia mioyo yao itakayokua accordingly to their preference na hii ni real case study. au ww huoniii? kwa wale watakaopitia watagain something kama wanahitaji kupata ndoa nzuri wanazohitaji na wasiwe under value wasiingie single moms on the contratry wasio na mpango haiwahusuWanaume siku hiz wengi tunauwezo mdogo sana wa kufikiri.. vitu vingne kama hiv hata huitaji mtu akushauri.. au sio ndo kukosa kazi, au kitaka sifa.. cjui...
nashukuru Mkuu kwa kunikumbusha. Thanks a lotaaaaaaaaaah nenda mkuu ila uende na zana kabisa maana hapo kuna game usilaze damu
anasaka kiki wakati anambandua huko hakutuambiaNi Story? Swali? Au unataka ushauri?
hahahaha im never interested😱😱😱😱😱😱😱 nacheeeka sana aseeHahahahaa nawakubali sana nyie watu....
Mkuu wala sihitaji kiki maana hata hunifaham na kiki za kijinga hainisaidii ni alert tu ata kwangu so problemanasaka kiki wakati anambandua huko hakutuambia
Kama kuna kitu unamtyegemea basi tegemea kupewa makavu vile vilenipeni mawazo tu Rubii nimpe makavu af tukikutana tuchuniane kabsaa or what?
Hivi unaposema singo madha... wewe siyo wa singo madha mwenzie..??? Au ulimaanisha singo parentii..???Kuna somewhere nilienda kucheki issue Fulani, fortunately nikakuta kumbe ni sehemu majirani zangu tuliotoka wote kijijin huwa wanakaa so tukasalimiana and so on.
Among them kulikua na one girl ambae she is just younger kwangu but through story from some people nilikuwa najua she got pregnance and is single mum. Unfortunately on our growth nilimuacha mbali she was neither my friend at that time I grew up and nilimtangulia three classes.
Aliponiona ananikumbuka jina kwa tabu tu, nilipoondoka sasa akaomba namba yangu from mtu their ambae alikua nayo. Akapga ooh Mimi fulan ulikuja hapa Jana naomba tuchart tumechat bt naona anakomaa kutaka kuwa close na Mimi Mara simu SAA sita kasoro.
Namvumilia maana hua mi sio mtumiaji wa simu na pia sitak kumjibu kunya mbovu sana mana lazma we shall meet either kwenye shughul or at village and I m never interested on her kabsaaa na as a single mother sina mpango nae kabsaa sasa ananiuliza na upo wapi? unafanya nini? Lini utanitembelea? najaribu kuonesha simtaki on way that sintamuuza bt haelewwi najiulza ana nikaba kwani mi ndo nilimwahisha hukoo au?
hihihihihihihihihihihMkuu wala sihitaji kiki maana hata hunifaham na kiki za kijinga hainisaidii ni alert tu ata kwangu so problem
nilitaka kukuita unifafanulie alichokiandika kumbe umeshafika?Be fair bro. Hii lugha ya watu pia umeitumia hapa, haiko interested na wewe, ila umeing'ang'aniza.
sawa Dada yangu nitaachahaya sasa kijana fanya hili " akipiga simu tena mwambie kuwa una mpenzi wa kike na hatapenda kuona haya mawasiliano . kwa hiyo ni bora kutowasiliana" halafu swala la mtu kuzaa siyo sababu ya kutompendwa . jitahidi ukue