Huyu single mother kanin'gan'gania sana

Huyu single mother kanin'gan'gania sana

Kweli lugha ya Malkia ilikuja na meli...hivi rasi simba yuko wapi siku hizi
 
Kuna somewhere nilienda kucheki issue Fulani, fortunately nikakuta kumbe ni sehemu majirani zangu tuliotoka wote kijijin huwa wanakaa so tukasalimiana and so on.

Among them kulikua na one girl ambae she is just younger kwangu but through story from some people nilikuwa najua she got pregnance and is single mum. Unfortunately on our growth nilimuacha mbali she was neither my friend at that time I grew up and nilimtangulia three classes.

Aliponiona ananikumbuka jina kwa tabu tu, nilipoondoka sasa akaomba namba yangu from mtu their ambae alikua nayo. Akapga ooh Mimi fulan ulikuja hapa Jana naomba tuchart tumechat bt naona anakomaa kutaka kuwa close na Mimi Mara simu SAA sita kasoro.

Namvumilia maana hua mi sio mtumiaji wa simu na pia sitak kumjibu kunya mbovu sana mana lazma we shall meet either kwenye shughul or at village and I m never interested on her kabsaaa na as a single mother sina mpango nae kabsaa sasa ananiuliza na upo wapi? unafanya nini? Lini utanitembelea? najaribu kuonesha simtaki on way that sintamuuza bt haelewwi najiulza ana nikaba kwani mi ndo nilimwahisha hukoo au?
who is your english teacher?
 
mi sijaona ulipong'ang'aniwa hapo aisee. hujawahi kugandwa ndo maana huelewi ikoje, hicho kiingereza ina maana ulifundishwa viunganishi tu au??
 
ingekuwaga single mothers hawaolewagi wangenyanyasika sana ila ndo wanaolewa tena na watu wa maana acha kabisa.Mwacheni Mungu aisee akisema Yes haijalishi una watoto mia unaolewa tu.
 
Mtu unasumbuliwa kwa sms na simu then unakuja kuomba ushauri huku!? Katika haya maisha in most if not all cases huwa kuna choice ya vitu viwili tu. Yes or No, Unaweza au Huwezi. Ntakupa au Sikupi and so forth.

It is beyond me some dudes can't make their minds on "simple" matters..
 
ingekuwaga single mothers hawaolewagi wangenyanyasika sana ila ndo wanaolewa tena na watu wa maana acha kabisa.Mwacheni Mungu aisee akisema Yes haijalishi una watoto mia unaolewa tu.
Napendaga tu hili neno "watu/wanaume wa maana".
Mawazo ya Mungu si mawazo ya mwanadamu. Na ingekuwa binadamu ndo msemaji wa mwisho, tungeipata fresh. Tunaishi kwa neema tu
 
mi sijaona ulipong'ang'aniwa hapo aisee. hujawahi kugandwa ndo maana huelewi ikoje, hicho kiingereza ina maana ulifundishwa viunganishi tu au??
OK, anyway vyovyote sawa kiingereza changu nakiamini maana kimenifikisha hapa nilipo na wamekisoma maprof. madr. nk
 
Mtu unasumbuliwa kwa sms na simu then unakuja kuomba ushauri huku!? Katika haya maisha in most if not all cases huwa kuna choice ya vitu viwili tu. Yes or No, Unaweza au Huwezi. Ntakupa au Sikupi and so forth.

It is beyond me some dudes can't make their minds on "simple" matters..
sikuomba ushaur nilikua nashaur na kuhitaji maoni labda imekugusa somewhere
 
Na single parent ni nani? Opposite ya single ni multi... sasa mi sijui nshalewa sielewi hasa maana ya single mother
single parent which sex? kuna urefu wa maneno hapa. mzaz alie singo wa kike. in English Female single parent/ single mother. Now where is the problem?
 
Back
Top Bottom