Huyu single mother kanin'gan'gania sana

Huyu single mother kanin'gan'gania sana

kuna somewhere nilienda kucheki issue Fulani, fortunately nikakuta kumbe ni sehemu majirani zangu tuliotoka wote kijijin hua wanakaa so tukasalimiana and so on, among them kulikua na one girl ambae she is just younger kwangu but through story from some people nilikua najua she got pregnance and is single mum. Unfortunately on our growth nilimuacha mbal she was neither my friend at that time I grew up and nilimtangulia three classes. Aliponiona ananikumbuka jina kwa tabu tu, nilipoondoka sasa akaomba namba yangu from mtu their ambae alikua nayo. Akapga ooh Mimi fulan ulikuja hapa Jana naomba tuchart tumechat bt naona anakomaa kutaka kuwa close na Mimi Mara simu SAA sita kasoro. namvumilia maana hua mi sio mtumiaji wa simu na pia sitak kumjibu kunya mbovu sana mana lazma we shall meet either kwenye shughul or at village and I m never interested on her kabsaaa na as a single mother cna mpango nae kabsaa asa ananiuz na upo wap? unafanya nn? Lin utanitembelea? najarbu kuonesha simtak on way that sintamuuz bt haeleww, najiulza ana nikaba kwan mi ndo nilimwahisha hukoo au?
Bora ungeandika kwa kiswahili tu. Maana hicho ki-ingereza hapo juu mhh inaleta tabu kidogo kuelewa. Samahani mkuu lakini.
 
ungetumia kiswahili bila kuchanganya changanya! ungeeleweka zaidi ............ i m never interested??
najua nilitakiwa kuandika I had never been interested ila kama nimeeleweka kdogo poa
 
mbona nafasi kama hizi sizipatagi jamani ...yani kajileta mwenyewe alafu unambwela mbwelaa !
Hata hua sijielewagi kaka hua napata shida kutoka kwenye consciousness au hua najisikia Nina hatia na kila ninapofanya ngono na mwanamke na hua nafikiria I wish nisingefanya na hua najikuta nimefanya ngono nikiwa nimelewa tu na nakataga contact nao. hua nafsi inanihukumu
 
jamani samahani wote najua kuna sehem nimeandika broken English ila nilihitaji kueleweka tu. mambo ya grammar na semantics sijazingatia
 
Hata hua sijielewagi kaka hua napata shida kutoka kwenye consciousness au hua najisikia Nina hatia na kila ninapofanya ngono na mwanamke na hua nafikiria I wish nisingefanya na hua najikuta nimefanya ngono nikiwa nimelewa tu na nakataga contact nao. hua nafsi inanihukumu
Una tatizo kubwa la kisaikolojia muone dk Mwaka,,naskia huwa anadili na izo vitu.
 
mkuu hii life sometimes we have to reason af brother zake ni friends na classmates for me so sio pa kuchafua tu kama wa porii
kwahiyo wewe ulitangulia kutoka kijijini yeye ukamuacha huko.
mmetoka kijiji gani mkuu? ningependa kuja kulima mahindi huko, najua yatatokea ya kiinglish 'popukoni' uongo!
 
kwahiyo wewe ulitangulia kutoka kijijini yeye ukamuacha huko.
mmetoka kijiji gani mkuu? ningependa kuja kulima mahindi huko, najua yatatokea ya kiinglish 'popukoni' uongo!
ndio kk
 
Back
Top Bottom