Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

Kuna mada nilishawai kusema .Siku alipopewa uraisi na kwenda kwa wajomba zake huko omani ulijua nini kinafata.

Yule anarudisha hasira za wanzanzibar na mkiendelea kumchekea kunawezekana kufutika kwa tanganyika na kuwa na utawala wa Zanzibar.Sasa kila idara ,kila vitengo wajipa wao wanzanzibar

Sasa
Umewaza kama Mimi, sisi twendelee kulala usingizi mzito siku tukiamka hatuna chetu....!
 
Hivi kwani hicho ki zanzibar kanafaida gani huku tanganyika kama vipi tukifutilie mbali
 
Yakitokea mapinduzi mengine, huyu twataka kichwa chake.
 
Kuna mada nilishawai kusema .Siku alipopewa uraisi na kwenda kwa wajomba zake huko omani ulijua nini kinafata.

Yule anarudisha hasira za wanzanzibar na mkiendelea kumchekea kunawezekana kufutika kwa tanganyika na kuwa na utawala wa Zanzibar.Sasa kila idara ,kila vitengo wajipa wao wanzanzibar

Sasa
Haya ni mambo ya muda tu wala yasiwasumbue, na comeback yake itakuwa ya kibabe sana.
 
View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
 
Attachments

  • IMG_5519.png
    IMG_5519.png
    2.4 MB · Views: 4
View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
Jambo kubwa na la kushangaza juu ya maneno ya huyu mbunge yaliachwa na Naibu Spika bila onyo lolote lile na kuingia katika "Hansard" zaidi ya kumtaka ajikite katika hoja iliyokuwapo mezani. Naibu Spika hakutatizwa kabisa na maneno ya huyu Mzanzibari.

Kanuni za Bunge zinataka heshima kwa viongozi wa juu wa nchi. Matumizi ya maneno "Yuda ama usaliti" hata kama yalipotumika kwa "code" zilizokuwa bayana kabisa, ilishangaza sana mbunge yeyote yule kutokutaka kutoa taarifa ilinamaanisha hoja hiyo ya usaliti ilitolewa kimakusudi katika kikao hicho cha Bunge.

Jambo hilo lilikuwa likituma ujumbe kwa mlengwa na wala halikuja kama mjadala wa hoja, bali ilikuwa nii tusi kwa mlengwa aliyewekwa bayana kabisa.

Naibu Spika kwa vyovyote vile kikanuni alipaswa kutoa onyo kutoka katika kiti cha Spika, muhusika kuomba radhi ama hata kutolewa ukumbini huku matamshi yale yakifikishwa katika Kamati ya Haki na Maadili
 
Mtoa mada anasema "the Zanzibari collussion".
 
Angemtaka afafanue na kutoa ushahidi mchangiaji vinginevyo hali hii imezalisha Utanganyika na Uzanzubari.
 
Kumekucha🔥🔥🔥🔥
Zile damu mlizomwaga 29th-Oct-2025 zinaendelea kuchemka.
Samia na Hussein Mwinyi ndiyo wamemtuma huyo Simai, it's about time hata nyinyi kenge wa mbogamboga muuseme ukweli ulivyo kwa faida ya Tanganyika. Circumstantial realities zinadhihirisha kuwa Samia na Hussein Mwinyi wamemtuma katika muendelezo wa kuhakikisha Zanzibar inaendelea kuikandamiza, kuinyanyasa, kuibagaza, kuipora na kuitesa Tanganyika.
Na wale waliopiga makofi wakati anaongea huo utumbo ni wazanzimbar? Watanganyika wengi hawajitambui wapumbavu walio wengi ova
 
Back
Top Bottom