Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

Muungano huu siyo mbaya ila viongozi ndiyo tatizo. kinachoharibu ni maslahi binafsi
Si hilo tu, ubinafsi unaongoza hasa nyakati hizi.
Watu wanateua watoto wao, mashemeji, marafiki.
Mwalimu aliiweka familia mbali na shughuli za serikali.
Usultani wa kuruthishana unajikita kwa sasa hivi.
 
Binafsi naona ni kama mkakati wa kichama kupitia uzanzibary. Na kilichonishangaza zaidi ni kwa nini mkuu wa muhimili ule arufusu mafumbo kwenye taasisi yake na kuingizwa kwenye hansad ya mjengo wao bila kutaka ufafanuzi, lkn pia wabunge wetu kutotoa taarifa na kushangalia,
Wasijaribu kuonja sumu. Na inasemekana huyo mlopokaji yupo ugaibuni anakula bata
 
View attachment 3600320
View attachment 3601133
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
Pole
 
Lisemwalo lipo na limetimia!
 
Back
Top Bottom