Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
....Walikuwa kwenye onyesho la Miss Tanzania hao kwa hiyo maulevi kama kawa. Si unamuona huyo mdosi kulia mwenye shati la blue na tai black huwa yuko na akina Lundega. Tena huyo jamaa mwenye kanzu nadhani ni wale waarabu akima Barhaboo mabishoo tu wa kujiachia.Umejuaje kama ni sheikh,hata Wahaya wakristo,wapagani na waislamu huvaa kanzu